Mgao wa umeme umekuwa Janga

Mgao wa umeme umekuwa Janga

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,268
Hii Hali ya Umeme sasa ni janga, maana hata mgawo sio hivi.
 
Hii ndo Tanzania na ukiona wametoa tangazo la umeme kukatika ujue tatizo lipo ndani ya uwezo wao, ukiona unakatika kimyakimya ujue hilo tatizo kutatuliwa ni probability
yaani siku mbili tu tayari shosti wangu wa saluni anaipigia ana njaa kali
 
Ebooo...!! Toka asbh mmetukatia mkasemq saa kumi na mbili mnaturudishia tumechoshwa na ujinga wenu rudisha umeme mara moja! Km mnavyodai bili zenu. Timizeni ahadi zenu. Tunataka umeme tabata.
 
wanasema ni uchakavu wa mitambo...

hizi ni hujuma tu.
ili wateja waone umuhimu wao na sio wajibu wao.
 
Kwingine mgao,ukirudi fuse imekata kwenye transfoma!!!mara siku 3 huna umeme. Tanesco jitahidini twende mbele. Kweli mnafanyakazi ila hawa wa emergence mhh
 
mpaka sasa hivi mazimbu morogoro wamekata umeme
 
Tunalia nini wakati wengi humu walikubali majungu na kumtosa Prof. muhongo. Sasa acha tuteseke maana waliofadhili "shoo" kipindi kile wanataka kuuza genereta sasa
 
Back
Top Bottom