SWALI; LINI TAMISEMI MTATOA SELECTION YA KWENDA FORM5?wa

SWALI; LINI TAMISEMI MTATOA SELECTION YA KWENDA FORM5?wa

zebradume

Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
48
Reaction score
18
Wadau..tusaidiane kwa hili kwa wale wenye wtt waliomaliza fm4 2014 ni lini watapatiwa majibu ya shule walizopangiwa? Tamisemi na wizara wapiga mpira tu..julai ndio inakaribia wtt wamesubiri sn tafadhali wajibikeni sio kuwaza kutiania na. Majimbo yenu
 
Tatizo liko wapi? Umechoka kukaa nyumbani? Subiri tuwaandalie mazingira muafaka ili mshishinde njaa huko mashuleni.
 
Lini second selection ya kwenda kidato cha tano itatolewa? na lini vyuo vya ualimu vitatolewa? kwasababu xaxa tumechoka kukaa mtaani tunashangaa watu tulishinda lakini mpaka xaxa hamna tamko lolote kutoka serikalini
 
ww mwaka jana zilitolewa mwezi wa 9 so bado sana na mpaka wakuu wa shule wapeleke idadi ya watu ambao hawajaripoti ndo ninyi mkajaze hizo nafasi wazi
 
Second selection imeshatoka toka 24-07-15 ingia mtandaoni www.pmoralg.go.tz utakuta majina ya waliobadilishiwa shule fanya haraka wana deadline!
 
Zebradume naomba bro nichekie mm inasumbua wesley mmary LOMWE SECONDARY(0355/0193)
 
Back
Top Bottom