Recent content by zeboyee 2

  1. zeboyee 2

    Natafuta mume mwenye umri kati ya miaka 33-36

    Poa nicheck Sent using Jamii Forums mobile app
  2. zeboyee 2

    Natafuta mchumba(mume)

    Poa nicheki Sent using Jamii Forums mobile app
  3. zeboyee 2

    Wabunge wahoji fedha za Rambirambi Arusha kutumika kwenye matumizi ya serikali

    Hivi hii serikali ni kweli ipo kwaajili ya wanyonge au ndio inawanyonga na shangaa wanaotumbuliwa ni wa chini na rambirambi zinzotumbuliwa ni za familia maskini ipo siku gharika litawajia
  4. zeboyee 2

    Prof. Mwandosya anena ya moyoni

    Nampongeza Eddo ukawa wamemnusuru pia kaonyesha ujasiri hivyo nazidi kumwamini kwa mamuzi magumu kajipiga chini mwenyewe ndani ya ssm pia kajiongeza inanekana anao uwezo ukifanya ujinga anakupotezea mazima
  5. zeboyee 2

    Safari ya matumaini part II yawaumiza vichwa CCM

    Lowasa watanzania hatutamwangusha kama ccm ilivyomwangusha tunamkubali kuliko jamii forum inavyomkubali
  6. zeboyee 2

    Lowassa kutangaza kuhamia CHADEMA Julai 26, Mwembeyanga ambako Dr. Slaa alimtangaza kuwa Fisadi Papa

    Lowasa karibu chadema tutakuunga mkono hado wanaokusema wanatokwa na mapovu wanajua utaondoka na wafuasi wengi wa ssm tutakuunga mkono wapinzani wote wametoka ssm bada ya kukiri kua ccm ni mbovu mtandao huu usikurudishe nyuma ni mawazo tu
  7. zeboyee 2

    Ukimya wa Lowassa wakitia homa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Lowasa ni kiongozi mwenye nguvu na ni mtu jasiri maana angedinda dodoma mabomu yasingetosha hivyo anastahili kuheshimiwa huwezi ukafananisha na pinda lowasa amekua karibu zaidi na wananchii na sio ccm pia anao wafuasi wengi ametenda mengi mabaya na kafanya mengi mazuri na wanachi wanamatumaini...
  8. zeboyee 2

    Nilikupenda sana Lowassa, kadiri unavyokaa kimya nazidi kuumia

    Lowasa jiandae 2020 uchukue nchi kupitia chadema uusichoke tunakuitajitunakuitaji
  9. zeboyee 2

    Milioni 300 alizopewa na Edward Lowasa zaendelea kumtesa Kingunge Ngombale Mwiru

    Msimchafue lowasa nijembe na anaitajika na bora yeye anayokashfa nyingi tu na katenda mengi mazuri pia ela zake wengi wamekula na bora amekua akijitoa na ndiomana wananchi wanatumaini kupitia kwake atafanya mabadiliko pia kumbuka huyu hakwenda kuficha pesa benki ya dua ela zake zipo mikononi...
  10. zeboyee 2

    Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

    Tokea kuumbwa kwa dunia Mungu alimuumba adam akaona si vema kua peke yake akamuumba msaidizi kupitia ubavu wa adam Sasa basi dunia imelaniwa kutokana na ahadi y Mungu walivunja na Mungu akasema mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu. Matukio makubwa yakutisha wanawake...
  11. zeboyee 2

    Edward Lowassa special thread

    Kumtoa kwenu lowasa mmfanya vema ukawa tuwamalize kabisa maana jamaa aliwabeba hadi ukawa yule
  12. zeboyee 2

    Nimeolewa nina watoto wa 2, mume wangu anaongea maneno yanayoumiza

    Temana na huyo babu njoo kwangu asikuzingue hujachuja hata kidogo nawe mjibu kua unajuta kukutana naye
  13. zeboyee 2

    Natafuta kazi yeyote iliyo halali

    Elimu yangu form four Ujuzi editing vdeo na uwezo pia kufanya kazi za secretary na kufanya kazi zote zilizo hali kwakujituma hua ninakampuni nafanya nao kazi kama data clerk tatizo ni ajira za mda mfupi alietayari anitafute natamani niasonge mbele kusoma ila batimbaya nategeemewa
Back
Top Bottom