zetho
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 277
- 67
Kilicho mponza Lowassa ni dini yake, maana usiku kucha kabla ya chaguzi waislam wote kwenyengazi za juu CCM walikaa kikao nakukumbusha falsafa ya chama hicho ambacho Mwalimu aliwahi kusema ni heri nguruwe kuwa mgombea uraisi CCM kuliko mkristo. Hii hapa picha yenyewe, maraisi wote waliotawala CCM iwe Tanzania bara au Zanzibar ni waislam. Pole sana Lowassa, silimu kisha uone.

