Habarini wakuu,,,, bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada kuu.Nipo hapa kutafuta mchumba wa kike ambaye basi kwa namna moja au nyingine mambo yakienda vizuri awe mke wangu.Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu na nimeajiriwa kanda ya ziwa ndo makazi yangu yalipo..Dini yangu ni mkristu...