Halotel kwa kweli wamekua ni wezi sana. Mimi natumia line ya mwanachuo lakini kila nikijiunga bundle na kisha kuingia instagram ,uki play zile video hata moja tu tayari unatumiwa sms kua huna bundle.
Kwani enzi za JK hakuwahi sema chochote pindi awapo msikitini? Hivi kiongozi wa kisiasa anavyopewa nafasi ktk nyumba za ibada unategemea aongee nini nje ya eneo lake la kazi? Acha hila ndg.
Acha ujinga ww...!? Huko duniani hakuna mambo ya namna hii, iweje kwa nchi kama Tanzania yenye watu maskini walionyonywa hata tone la mwisho waendelee kubebeshwa mzigo hata usiostahili?
Hata hawa Continental ndo hawafai kabisaaa!. Yaani kama huna kifurushi hupati hata chanel moja wakati hata ukilipia chanel unazopata ni za hovyo kabisa. Naomba ushauri ni king'amuzi gani kinafaa ninunue maana hiki cha continental nataka nikitupilie mbali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.