Recent content by ze big

  1. ze big

    Vodacom kuunga wateja wake huduma ya mdundo bila mteja kuridhia

    Habari wadau. Kumekuwa na mtandao wa vodacom Tanzania kuunga wateja wake kwa kuwabambikia huduma ya mdundo na kupelekea kukata watu salio la muda wa maongezi. Hii huduma binafsi nimekuwa nikiungwa pasipo kujiunga kwa zaidi ya mwaka sasa nikiwasiliana na hao huduma kwa wateja wanadai...
  2. ze big

    Aliyeruhusu ujenzi wa vibanda juu ya Mtaro wa Maji Mbezi Luis anapaswa kuwajibishwa

    Njoo huku gongo lamboto ndio utajionea vituko wamejenga na wanalala kabisa na familia huko barabarani
  3. ze big

    Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Heche alisema waliambia hapa mavi mbele kama tai yaani
  4. ze big

    Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Kuna yule anaitwa MNYETI yule nae amefanya mabaya sana huku manyara
  5. ze big

    Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Ugumu unatoka wapi wakati uvamizi wa clouds cctv camera mpaka leo ile video ipo Kujipatia fedha kinyume cha sheria watendewa wapo na walipo deposite kunaonekana
  6. ze big

    UZI WA KUWACHORA WACHEKESHAJI WASIO CHEKESHA

    Mc pilipili
  7. ze big

    Uzi maalum wa kujuzana maeneo ya starehe kwa gharama nafuu

    Habarini wadau nimeona nianzishe uzi huu kusaidia watu tuweze kujuzana maeneo ya starehe yanaweza kuwa mapya au yazamani ila muhimu ni kwamba yawe ya gharama zinazowafaa watu wa kawaida na wa uchumi wa kati. Maeneo haya yanajumuisha; sehemu za kulala, Bar maarufu zilizo changamka, Maeneo mapya...
  8. ze big

    Wabunge CCM wapinga nyogeza mishahara ya watumishi wa Serikali

    amini nawaambia hii i5akua kama ya kikokotooo mei mosi yaja Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ze big

    Msaada maji taka yanatiririka katika makazi ya watu

    mwenyekiti nimeshamuona zaidi ya mara mbili hamna alichotusaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ze big

    Msaada maji taka yanatiririka katika makazi ya watu

    nimekwisha enda wamefika eneo la tukio walichofanya wamezibua maji ili yaendelee kutoka kwa wingi zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ze big

    Msaada maji taka yanatiririka katika makazi ya watu

    Habari wanajamvi nahitaji kupatiwa msaada ni nini hasa nifanye kisheria kudhibiti utiririkaji wa maji taka katika eneo la makazi yangu. maji hayo yanatoka katika kambi za jeshi. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ze big

    MOSHI: Mwaka wa 20 sasa tunakunywa maji yasiyochemshwa na hatuumwi matumbo

    Ndio maana jamaa yule hatupendi watu wa moshi "ni wivu tu" Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ze big

    PUGU: Maiti ya Mary Mkwaya Maramo, aliyekuwa afisa wa Wizara ya Nishati yafukuliwa na kuvuliwa nguo, yadaiwa kuingiliwa kimwili

    Kama mtu anaweza tembea na mwanaune mwenzie anashindwa maiti kweli??? Mi nahisi ndo hao hao Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ze big

    Tangazo: Kwa yeyote atakaye fanikisha kuipata laptop hii kuna zawadi taslimu ya tsh 5,000,000 Ahsanteni

    Majizi mengi yapo facebook nenda kule utaipata baada tu yakuandika status Sent using Jamii Forums mobile app
  15. ze big

    Mwanamke Kalio bwana, Kama Sura hata Mbuzi anayo

    Mdada akiwa na tako ni kama ana degree tatu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom