Recent content by zaraki kenpachi

  1. Z

    Anime

    Hivi black clover ni top tier? Watu walilalamika wameiga naruto sasa sijui ni kweli au la.
  2. Z

    Rangi ya Plate number za mabasi ya shule

    Hapo ndo inapochanganya kidogo
  3. Z

    Rangi ya Plate number za mabasi ya shule

    Habari wakuu, Naomba kujua kwa mabasi ya shule inabidi yawe na plate number za njano ama plate number nyeupe? Naona baadhi ya magari yana rangi nyeupe na mengine njano.
  4. Z

    Anime

    Sijaelewa why watu wanamkubali sana manake ni mbabe sana
  5. Z

    Anime

    Aisee umegusa penyewe, naona siku hizi Anime imekua kitu cha kawaida kama movie zengine, wengine tulianzia enzi zile za samurai x channel 10. Bleach Code geass Full metal alchemist
  6. Z

    Fundi wa umeme wa gari

    Ndo maana nikaja kupata muongozo ili niwe salama
  7. Z

    Fundi wa umeme wa gari

    Naomba kuuliza fundi mzuri wa mifumo ya umeme wa gari, nina crown ambayo inanyonya battery, nimeweka battery mpya na bado imeisha charge.
  8. Z

    Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

    Hio kawaida yake, hana show mbovu!
  9. Z

    Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

    Dah mkuu sema reviews za back in action hazijawa kivile..
  10. Z

    Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

    Hapo kwenye attack on titan...salute!
  11. Z

    Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

    Yap na sijui imekuaje ika hit hivo ndo maana nataka niitafute nione ina tofauti gani na zengine.
  12. Z

    Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

    Haha kabisa mkuu. Hapo nimekupata. Sasa kuna moja ya kichina naona inauza sana inaitwa ne zha 2..
  13. Z

    Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

    Mkuu tujuane tafadhali, manake wengine mpaka tunaona aibu na ukubwa huu hahaha ila hatuachi, vp Anime unacheki?
Back
Top Bottom