Hii wangeipa na season 2 ingependeza sana
Ndyo ni kali, story ake ni masterpiece 😇Hii wangeipa na season 2 ingependeza sana
Hivi black clover ni top tier? Watu walilalamika wameiga naruto sasa sijui ni kweli au la.
Tayali ishakuwa released mkuu ngoja nikuchekie linkHyo demon slayer infinite castle 2 inakua released mwaka huu au
fanya hivo mkuuTayali ishakuwa released mkuu ngoja nikuchekie link
Noo ni kali 8/10 🔥Hivi black clover ni top tier? Watu walilalamika wameiga naruto sasa sijui ni kweli au la.
Dear, yani sijawahi kuzielewa sio siri😀 ntazifatilia kwaajili yako!