Mim marudio ambayo hayaniting ni yale ya WANANCHI VS CR BELOUZDAD chuma 4 kwa mkapaMarudio ya game ya Simba itabidi niyacheki na mimi mkuu
Hata nikiingia you tube natafuta angalau magori yalivyofungwahaha dah! unayapataje mkuu au huwa unasubiri mpaka siku hio AZAM wayarushe
Tena kyela karbu na matema beachhapo fresh, we wa mbeya kaka.
Sisi wanyakyusa wa kyela kuna maneno hayakosekan mfano "utakulapo je"haha kuna msela alikuwa anapenda kutumia hilo neno "kutingwa" ni blood sana wa huko huko mbeya.
Dah mkuu sema reviews za back in action hazijawa kivile..Back in action & Carry on ni movie kali sana kwa wale movie enthusiasts
#Hobby
Hio kawaida yake, hana show mbovu!ila Jamie Foxx katisha sana kwa vituko mule
Ndiyo nini hizo jamanihaha hobby nzuri ila punguza nye mmh mmhnh
😀
😁😁😁huko sitembeleaginitakwambia siku tukikutana mitaa ya pihemu![]()