Recent content by zanishaha

  1. zanishaha

    Video: Ni nani aliye-record hili tukio la Ujambazi wa NMB Bank Mbeya?

    Mko serious kweli, unashindwaji kutofautisha kweli n ecting , mtoa mada na baadhi ya wachangiaji
  2. zanishaha

    Mke wa mtu

    hahahaha...
  3. zanishaha

    Nimechekajeeeee

    hahahah... hiyo nouma sana
  4. zanishaha

    Mkude simba

    Mkude simba ni kitare
  5. zanishaha

    Nahitaji samsung galaxy sii used

    Mbili na nusu nitafute
  6. zanishaha

    Ndugu zangu hii ni sahihi? Naomba ushauri tafadhali

    Kumfatilia mkeo si tatizo na tena inaweza kukusaidia kuepuka na baadhi ya vitu pindi utakapomuonya au kumpa nasaha,kukaa kimya na uhuru wa kupitiliza unapoona kuna upungufu,utaletewa HIV ndani na watoto wa wanaume wenzio,tuwe tu nasubira upatapo taarifa katika kusolve matatizo
  7. zanishaha

    fikiria hili!

    Napita,nitarudi
  8. zanishaha

    Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

    Kama yes ni mungu?alipokuwa anasali alikuwa anamuomba nani?
  9. zanishaha

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Safi sana tutatafutana
  10. zanishaha

    Msaada kuhusu Samsung Galaxy S4

    Kuna mtu ana s4 galaxy, Nimefanya test ya sensor kwa *#0*# navyenginevyo inakubali,but nyuma imeandikwa made in china,je kuna mwelewa wa hizi s4,nitaijuaje kama ya orginal, Msaada please
  11. zanishaha

    MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

    Mzizi mkavu Pasco-pyscho power Kiranga Eliyer Wapo na wengine
Back
Top Bottom