Recent content by Zani

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Wanyama ni hayawani usijaribu kucheza nao

    Kuna Muheshimiwa aliuliwa na Mbwa wake wa kumfuga .....bado wanyama ni hatari sanaaaaa
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni elimu ya kidato cha tano na sita, haina faida

    Nafikiria hivi....Organic chemistry ya O level inaweza kuwa sawa na A level?.... Yaani mfn hii ya A level wafundishwe hawa wtt wa O level si wote wataacha chemistry..... Kuna field za kisayansi lazima upitie A level
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni elimu ya kidato cha tano na sita, haina faida

    Upo sahihi kabisa ....Physics,Bios,Chemistry ,Math za O level ni tofauti kabisa na za Advance .....tena mbaliiiiiii sanaaaa
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Kauli za Kikwete na Sirro zinaashiria kuna tatizo kwenye kifo cha Dkt. Reginald Mengi..

    Awekwe chini ya ulinzi kwa Maneno yenu ya umbea au?..... Ww ukisikia kitu tu unaaminieeee ? Ebu pevuka aiseeh..
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Nipo Sengerema kwenye nyumba ya kulala wageni, napata majaribu sana kwani naota ndoto za ajabu mno

    Ukienda kulala Guest bei Chini ya elfu 15....lazima upambane na Kunguni,Mashuka machafu,hewa nzito.... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

    Yah...Hata yeye mwenyewe Yesu hakumpiga .... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Kile kinachofanywa na watoa mapepo ni cha kutengenezwa

    Kasome zaidi ..Mengine mnafichwa ili ujinga ulionao usiondoke....Huyo Mariam au Maria kabla hajapata ujauzito unajua kama alikuwa ni MTU wa kukaa ndani ? na huko ndani maranyingi YOSEPH kama mnavyomuita ndie alikuwa anakaa nae sana.....Sasa kwa kukufumbua tu Yesu unaesema ni MTT wa Yoseph....ila...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Askofu jimbo kuu la Mbeya Everist Chengula afariki dunia

    Mungu kamchukua Askofu ...kakuacha ww unaesoma huu Uzi...kufa ni haki isiyo na upendeleo kila tu kwa wakati wake...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kurudi bongo

    Kichwa mbovu sana huyu
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Wapanda daladala, watembea kwa miguu na roho za kwanini kwa wenye magari

    Unajishtukia tu....sisi wala hatukuwazii,we pita tu
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada: Cheti changu cha Stashahada kimekosewa jina, nifanyeje?

    Kama umemaliza dip ya Afya ..halafu unashindwa kujiongeza kwa Ishu kama hiyo ....sijui kama changamoto za kazi yako utaziweza ...bado ninawasiwasi na ww mwenyewe pamoja na chuo ulichosoma ...Endelea kufanya siri chuo ulichosoma aiseeh .. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

    Jaribu kuwa bize kidogo....kama mwanzo
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Tumewahi kutafakari hata kwa dakika moja siku upinzani ukifa tutakuwa kwenye hali gani sisi wananchi wa kawaida?

    Siku ambayo CHADEMA ikiongozwa na MTU asiye wa kanda ile..ndio siku ambayo upinzani utakuwa umeanza kuja ..lkn huu tulionao sio upinzani..Nimezungumzia chadema ....sababu ni chama kikuu cha upinzani..
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba ananifwata ndani kwangu..

    Fanya mambo
Back
Top Bottom