Recent content by ZAMTANGA

  1. ZAMTANGA

    JamiiForums Tanzania Manii nyeusi

    HUMU NDANI INABIDI TUWE SERIOUS MTU ANAPO POST KITU MUHIMUN KINCHOGUSA AFYA YA BINADAM SIO KILA WAKATI KUCHANGIA PUMBA TU.KAMA HUNA USHAURI WA KUTOA BORA UACHE TU KUCHANGIA:spy:
  2. ZAMTANGA

  3. ZAMTANGA

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    HAYA SASA NCHIMBI AUNDE HIYO KAMATI YAKE NA ATUAMBIE KUA MAREHEMU HAKUPIGWA RISASI BALI ALIDONDOKEWA NA KIPANDE CHA MKATE. R.I.H :spy:REST IN HELL KAMANDA
  4. ZAMTANGA

    JamiiForums Tanzania Jaji Ihema, Kumbe Tundu Lissu alikuwa sahihi...

    Yaani afadhali ile ya mct kuliko huu upuuzi tuliosomewa kwanza msomaji mwenyewe anatatetemeka huyu ndo maana lissu alisema hana sifa ni kilaza na afadhali chadema waliona mbali hawakushiriki kwenye hili
  5. ZAMTANGA

    JamiiForums Tanzania James Millya chunga kauli zako

    Hazina mchwa zina kenge
  6. ZAMTANGA

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

    Lazima wahusika wawili wakutane njiani
  7. ZAMTANGA

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa kutikisa Arusha Jumamosi

    polisi hatuwataki tutajiongoza wenyewe
  8. ZAMTANGA

    JamiiForums Tanzania Diamond anakula keki!

    hivi kwa uhalisia huyu anayelisha na anayelishwa mkubwa nani? Mbona naona huyu diamond kama anabakwa vile!!!!!!!!!
  9. ZAMTANGA

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mkutano wa CUF na Picha za matukio mbalimbali - Sept 30, 2012

    Mbona ushungi na vibarakashiaz?
  10. ZAMTANGA

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mkutano wa CUF na Picha za matukio mbalimbali - Sept 30, 2012

    Mbona hakuna watu
  11. ZAMTANGA

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete Sept 30, 2012

    hana jipya huyu jamaa siku hizi wa tz hatudanganyiki:a s 39:
  12. ZAMTANGA

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete Sept 30, 2012

    mimi nlijua leo ataongelea suala la mwangosi nikapoteza muda wangu na kuanza kumsikiliza kumbe anaongelea mambo ambayo wa tz hata hayatusaidii yaani bora angekaa kimya
  13. ZAMTANGA

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete Sept 30, 2012

    hana jipya huyu jamaa siku hizi wa tz hatudanganyiki:a s 39:
Back
Top Bottom