Diamond anakula keki!

Diamond anakula keki!

Huyu dogo noma

3.jpg
 
khaaaa nilijiuliza mdada ni nani?kumbe wema?uyu binti hakomi kweli ni noumer hii ya lini kwani
 
hivi kwa uhalisia huyu anayelisha na anayelishwa mkubwa nani? Mbona naona huyu diamond kama anabakwa vile!!!!!!!!!
 
wakiumwa hawa wanataka kuchangiwa wapelekwe india si ndio?

Mi nilishawah kuwachana siku Moja Moshi walikuwa bar moja inaitwa Mkulima Bar .............Niliwaambia mkiumwa tusione mkiomba pesa za kwenda kwa Govinda.............Walikuwa wanakunywa na kurusha pesa juu
 
Mkumbuke Mungu wako siku za ujana wako.......


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mi nilishawah kuwachana siku Moja Moshi walikuwa bar moja inaitwa Mkulima Bar .............Niliwaambia mkiumwa tusione mkiomba pesa za kwenda kwa Govinda.............Walikuwa wanakunywa na kurusha pesa juu
Nyama choma pale ndo kwenyewe,maeneo ya majengo.Waliokuwa wakirusha pesa juu kina nani?
 
Wanawake bwana ni noma, yaani hapo anajifanya anamjali huyo dogo bila kujali alikuwa muuza mitumba Tandika. Siku akilost tu Wema atajifanya hajawahi kumuona, atadandia kitu kingine. Mungu atusaidie tupate ufahamu.
 
NI KWELI...NANI ALIKUWA KAMA KANDABONGOMAN? nani ANAMKUMBUKA AWILO? JE KOFFI OLOMIDE? WOTE HAWA WAMEPITA, ITAKUJA KUWA HAWA VIJANA WANAOIBUKA SASA HIVI PENGINE VIWANGO VYAO VIKO CHINI SANA KULINGANISHA NA HAWA MAGWIJI WALIOKWISHA PITA? NINGESHAURI MUDA HUU WAUTMIE VIZURI MAANA NDIO UNAPITA HIVYO!!

we we we tafadhali sana,............MOPAO yuko pale juu sana bado,na kufulia labda badae sana!!!
 
Umekosea kidogo mkuu, mkulima ni Dar es salaam street, majengo ni kwa kipanga- ila wote ni wataalamu wa nyama choma
Ni kweli kunta Kite Bar ile ipo pale Dar streer mkabala na Guest maarufu za Devota..............Mi pale huwa nafuata Mitura na Nyama ya Mbuzi ukishusha na bia kadhaa raha mustarehe
 
Back
Top Bottom