Hotuba ya Rais Kikwete Sept 30, 2012

Hotuba ya Rais Kikwete Sept 30, 2012

Miaka 20 ya vyama vingi imekuwa ya maendeleo sana

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

Tumeyaona Maendeleo ya kupiga risasi, mabomu na kuua raia wanaodai haki zao, hayo ndio maendeleo anayoyazungumzia huyu pumbavu?
 
Huo ndio uchumi, bei nzuri kwa mlaji au muuzaji? Ukiwa mkulima, au fikiria tu kama wewe ni mkulima unadhani ni lipi ungelifurahia kati ya hayo?

Nadhani aneleta maana kubwa iwapo angeeleza kukuw kwa kipato cha watu, jambo ambalo wanasiasa wengi wanakwepa kuliongelea kwani hata jisni ya kupima ni kasheshe.
 
Kama hakutakiwa kuwa rais si ukamtoe madarakani au unaogopa polisi? Zaidi ya hapo endelea kubweka tu humu JF unadhani watanzania wote wana akili kama zako.
Hivi unajuwa mbwekaji anang'ata?Unataka nikung'ate wapi?
 
Kama kawaida yako umeanza kulia wapi nimekuita mbwa?
Mbwa habweki?Kama huna hoja nipotezee,nimetoa maoni yangu bila kumbughudhi mtu,maoni yangu kama mwan JF,JF si ya ccm wala JK,umeelewa?Uvumilie maoni ya wenziyo bila kuja na meneno ya kipumbavu,binadamu habweki!umeelewa?
Rudi kwenye mjadala acha kufuatilia watu kijinga.
 
Jakaya Mrisho Kikwete ni Rais wa ajabu sana, anahutubia taifa lakini toka ameanza kuongea haongelei mambo specific kwa nchi yake, naona anaongea mambo too general, ni hotuba ambayo mtu yeyote anaweza tu kuiandika, sio htuba ya rais, mtu tunayetegemea atuambie mipango ya nchi na utekelezaji wa baadhi ya mipango yetu ya hapo awali (kama ilikuwepo).

Ametumia muda wake wote kuelezea mkutano wa AGRA uliofanyika Arusha, amemshukuru Kofi Annan kwa kuleta mkutano wa AGRA Tanzania, amesema hiyo ni heshima kubwa kwa nchi, akaendelea kumshukuru waziri wa kilimo na mkuu wa mkoa wa Arusha kwa kuandaa mkutano mzuri, ameusifu uongozi wa hoteli waliyolala hao wageni, kwamba walihudumiwa vizuri.

Rais ametumia muda mwingi kuelezea hiyo AGRA ni kitu gani, na kwamba mkutano wa kwanza ulifanyika accra Ghana na sasa huu ni mkutano wa pili, kwa hiyo tumepewa heshima kubwa! pia ameeleza jinsi AGRA inavyosaidia kuendeleza kilimo katika nchi za Africa.

Jaribu ku-imagne, Obama ametoka kwenye UN General assembly sasa anahutubia taifa, anawaeleza wananchi wake hiyo UN General assembly ni kitu gani, ilianzishwa lini, kazi zake ni nini, yaani kama anafundisha watoto wa shule hivi.

Tuna hali ngumu, tunahitaji visionary, tunahitaji mtu anyeweza kutuvusha hapa, ninasikitika kusema hivi, lakini silioni hili kwa Rais wangu wa sasa
 
Its not the first time ananiboa kwenye hilo nililoliwekea red.Sijui naongea na wakwere wasiojua hata kulima ndizi.Alianza niboa kipindi anaanza mikutano elekezi ngurdoto.Alianza elezea tented camp ni nini,hotuba nzima ikawa hivyo huku akijichekesha.Nilimshangaa sana jinsi alivyoshindwa elewa wapo watu kibao Arusha wanajua utalii na ubunifu wa hali ya juu ila sheria za dar zilizowekwa na wasiojua utaalii hazitekelezeki.Hajui kuwa utalii ni janga la taifa.hajui kuwa tumechoka kusikia akijimbelezesha kwa makampuni makubwa ya kinyonyaji na yasiyo na ubunifu zaidi ya kujenga mipaka kuzuia wawekezaji wachanga na wenye kufanya vyema kwa mitaji midogo.Kwa ujumla alinzia hapa niboa.

Hotuba hii ndio ilikuwa kichefuchefu kabisa.hakuw ana majibu ya maswali mazito ya haya mauaji, unyanyasaji, kwanini mikopo haipatikani kwa raia wa kawaida, na majibu ya kwanini mabilioni ya JK yaliishia kuliwa na wahuni km wa EPA.Kashindwa sema wazi kuwa wataadhibiwa wote.Na kashindwa toa matamko ya kuashiria kuwa sasa ana nia ya kweli ya kuikubali CDM na kuweka nadhiri kuwa sasa watajibehave vizuri hata kipindi hiki ambacho hila zote zimetibuta.Bado alikuwa akieleza ujinga wa mani huku akijenga taswira kama ya CUF na CCM wenzake.

huyu jamaa hajaongelea uhuru wa habari na janga lililoletwa na serikali yake.MWanahalisi limefungiwa huku mhariri wake akiwa mmojawapo wa wahanga ambao ni Mungu tuu liwaokoa, akifuatiwa na Mwangozi.Haoni wapi serikali inatakiwa ijitazame na kujenga mahusiano mapya.
 
Ameboaje mkuu! Duh, sijwahi kuona tokea nisaliwe.
 
Jakaya Mrisho Kikwete ni Rais wa ajabu sana, anahutubia taifa lakini toka ameanza kuongea haongelei mambo specific kwa nchi yake, naona anaongea mambo too general, ni hotuba ambayo mtu yeyote anaweza tu kuiandika, sio htuba ya rais, mtu tunayetegemea atuambie mipango ya nchi na utekelezaji wa baadhi ya mipango yetu ya hapo awali (kama ilikuwepo).

Ametumia muda wake wote kuelezea mkutano wa AGRA uliofanyika Arusha, amemshukuru Kofi Annan kwa kuleta mkutano wa AGRA Tanzania, amesema hiyo ni heshima kubwa kwa nchi, akaendelea kumshukuru waziri wa kilimo na mkuu wa mkoa wa Arusha kwa kuandaa mkutano mzuri, ameusifu uongozi wa hoteli waliyolala hao wageni, kwamba walihudumiwa vizuri.

Rais ametumia muda mwingi kuelezea hiyo AGRA ni kitu gani, na kwamba mkutano wa kwanza ulifanyika accra Ghana na sasa huu ni mkutano wa pili, kwa hiyo tumepewa heshima kubwa! pia ameeleza jinsi AGRA inavyosaidia kuendeleza kilimo katika nchi za Africa.

Jaribu ku-imagne, Obama ametoka kwenye UN General assembly sasa anahutubia taifa, anawaeleza wananchi wake hiyo UN General assembly ni kitu gani, ilianzishwa lini, kazi zake ni nini, yaani kama anafundisha watoto wa shule hivi.

Tuna hali ngumu, tunahitaji visionary, tunahitaji mtu anyeweza kutuvusha hapa, ninasikitika kusema hivi, lakini silioni hili kwa Rais wangu wa sasa

Uchambuzi mzuri sana Mkuu, na kwakweli Watanzania tusipobadilika Watoto wetu watakuja kukojolea makaburi yetu.
 
mimi nlijua leo ataongelea suala la mwangosi nikapoteza muda wangu na kuanza kumsikiliza kumbe anaongelea mambo ambayo wa tz hata hayatusaidii yaani bora angekaa kimya

he he...nilijua wakikojoa wanaweka mbolea maua yakue na bangi ife..kumbe ni isuue eh..?
 
Hivi unajuwa mbwekaji anang'ata?Unataka nikung'ate wapi?

huyu Ritz mpotezee kwani hata akipewa maswali yaliyokosea huwa anakimbilia jibu,just because kuna terminology ndani anayodhani anaifahamu
 
Jakaya Mrisho Kikwete ni Rais wa ajabu sana, anahutubia taifa lakini toka ameanza kuongea haongelei mambo specific kwa nchi yake, naona anaongea mambo too general, ni hotuba ambayo mtu yeyote anaweza tu kuiandika, sio htuba ya rais, mtu tunayetegemea atuambie mipango ya nchi na utekelezaji wa baadhi ya mipango yetu ya hapo awali (kama ilikuwepo).

Ametumia muda wake wote kuelezea mkutano wa AGRA uliofanyika Arusha, amemshukuru Kofi Annan kwa kuleta mkutano wa AGRA Tanzania, amesema hiyo ni heshima kubwa kwa nchi, akaendelea kumshukuru waziri wa kilimo na mkuu wa mkoa wa Arusha kwa kuandaa mkutano mzuri, ameusifu uongozi wa hoteli waliyolala hao wageni, kwamba walihudumiwa vizuri.

Rais ametumia muda mwingi kuelezea hiyo AGRA ni kitu gani, na kwamba mkutano wa kwanza ulifanyika accra Ghana na sasa huu ni mkutano wa pili, kwa hiyo tumepewa heshima kubwa! pia ameeleza jinsi AGRA inavyosaidia kuendeleza kilimo katika nchi za Africa.

Jaribu ku-imagne, Obama ametoka kwenye UN General assembly sasa anahutubia taifa, anawaeleza wananchi wake hiyo UN General assembly ni kitu gani, ilianzishwa lini, kazi zake ni nini, yaani kama anafundisha watoto wa shule hivi.

Tuna hali ngumu, tunahitaji visionary, tunahitaji mtu anyeweza kutuvusha hapa, ninasikitika kusema hivi, lakini silioni hili kwa Rais wangu wa sasa

nakubaliana na wewe uswe, mpaka sasa kuna maswali mengi kuliko majibu, angalau rais wetu angekuwa anapunguza mojamoja kila mwezi badala ya kutuletea habari ambazo tunaweza kuzisoma kwenye vipeperushi. ninaamini kabisa kuwa watanzania wangependa kusikia zaidi ya haya kutoka kwa rais wao.
 
Anatuhadaa huyu kana kwamba sisi ni wa mwaka 1970 ambao hawakuijua dunia? Kwanza huko Marekani anaoenda mara nyingi ameona nchi nzuri inavyopendeza kwa natural vegetation ukilinganisha na Tanzania? Yes Tanzania tuna rasilimali nyingi hasa madini, maziwa, lakini hili la ardhi nzuri asitudanganye, tumeiona dunia bana.

Wewe wa sasa ndiye usiyeijuwa dunia. Hivi ni kipi unachokijuwa zaidi yangu mimi wa 50's? licha ya huyo wa 70's.
 
mimi nlijua leo ataongelea suala la mwangosi nikapoteza muda wangu na kuanza kumsikiliza kumbe anaongelea mambo ambayo wa tz hata hayatusaidii yaani bora angekaa kimya

Kwanini hukufikiria kuwa ataongelea la Ally lililotokea kabla ya la Mwangosi?
 
Back
Top Bottom