Lema kafulia kwelikweli..muda sio mrefu ataludia dili zake za wizi wa magari,la sivyo atakufa njaa.
uko nyuma kama saa mbovu, umagamba unakuwasha, kaoge upewe nguo za kazi a.k.a GWANDA
Wooooh hii kauli ya ( mabadiliko yenye tija ni yale yanayo kwenda ngazi kwa ngazi huku yakifuata kanuni za demokrasia) ni ya kihuruma huruma vile, huku dalili za kukata tamaa zikiwa zinaonyesha waziwazi
Wooooh hii kauli ya ( mabadiliko yenye tija ni yale yanayo kwenda ngazi kwa ngazi huku yakifuata kanuni za demokrasia) ni ya kihuruma huruma vile, huku dalili za kukata tamaa zikiwa zinaonyesha waziwazi​
nianze na wewe mkadambwi sijui mkunyambwi au matakombwi, kukujibu: hivi kauli ya nasari imekuuma sana hadi umwite mh. mbunge wetu ni msela ......., kama kwa kauli ya kishujaa inakufanya uwaite watu jina hilo na kwa mwonekano unaonekana ni mwana gamba untufundisha ni kuhusu kauli chafu...
tuambie hizo sifa unazosema anazo msishabikie tuu
hvyo hivyo 2005 watu walimshabikia. jk sasa hivi walia unaesema safi sana twambie wasifu wake isije ikawa kisasa bomoa bomoa na kugawa masamaki ndicho mnashabikia ninashaka na ushabiki huu
hawana haya arumeru watu wanahitaji ulinzi wait wanajazana kwenye bongo flava pambafu kabisa haya
Ila simu ya nyani muda miti yote .... ili wote waamini kuwa serikal ya baba mwanasha imechoka kuwaza lazima hayo yatokee
weye unatumia kuwaza badala ya ubongo ndiyo maana unashambuliwa, halima, Kisu na wengineo ni kama wachezaji wa timu imara ya cdm walimpatia pasi waliye mwamini akafunga goli taabu yako ni nini akitajwa zito kafunga au ulitaka atajwe mkeo au lusinde? mimi nilidhani unatuambia mwanzisha hoja...
kama mkuu wao wa kaya kaitisha kikao basi upepo umemzidia umekuwa kimbunga alisema ni upepo utapita kwahiyo shinikizo la upepo limesaidia, ha ha Haaaah! mjenga hoja umepinda kama chama kilivyo, unatuthitishia kuwa hakuna mwanajamii ccm anayejua kufikiri anzia mwenyekiti hadi kibaka kama wewe...
mtoa mada na wanaokuunga mkono hivi mnavichwa au viwilwili ndo vinawaza, wote nadhani makalio yenu ndiyo mmefanya ni vichwa vya kuwazia au ukute mmelewa au ndo yale makafara ya .wamagamba yanaongea mnatia kichefuchefu toeni ulusinde wenu hapa. nyie ngojeni kitambo kidogo mtaijua tz ni mali ya...
hebu nianze na kuomba samahani kwa mtazamo wangu,
inawezekana alimaanisha maneno yale ya kashfa waliyokuwa wakiambiwa ila si katika kuwajibika kwa waliyotenda, mfano swala la waachie ngazi hilo ni lazima wawajike hata spika aseme nini. maneno yenyewe labda ile kuitwa mchwa, goigoi, majambazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.