Ujumbe wa Godbless Lema baada ya kuvuliwa ubunge kwa wana Arusha

Hivi ile Chopa tulioambiwa kapewa Lema imeishia wapi au Ndesamburo kaona hasara.

Ritz ulitaka aje akabidhiwe Pale Lumumba?Kazi inayoendelea wewe uioni?Siyo lazima kila aina ya mbinu inayotumika wakujulishe. Vipi ujapewa U DC?
 
Lema kafulia kwelikweli..muda sio mrefu ataludia dili zake za wizi wa magari,la sivyo atakufa njaa.

uko nyuma kama saa mbovu, umagamba unakuwasha, kaoge upewe nguo za kazi a.k.a GWANDA
 
Ni mpumbafu tu anayeweza kumdharau Lema. Hata CCM wanatambua hatari yake ya kuisambaratisha CCM KITAIFA, Acilia mbali ki-Arusha
 
Hivi ile Chopa tulioambiwa kapewa Lema imeishia wapi au Ndesamburo kaona hasara.


ritz, iwepo au isiwepo chopa, hali ni ngumu kwa chama chako. Malkia aliondoa manoari, achilia mbali chopa
 
Naona umemua kujitekenya halafu unacheka mwenyewe JK ajute sababu ya Lema hiki ni kichekesho kama kashindwa kujuta kwa Slaa, ajute kwa Lema...Chadema bana kwa kujifariji.
Majuto ya kikwete yalianza tangu magamba walipopoteza jimbo hili lenye asali na maziwa,maana tangu Arusha iwe chini ya kamanda Lema na Chadema as a leading Party here,jamaa kasahau kujirusha A town,maana alizoea kila wiki ngurdoto.
 
Lema kafulia kwelikweli..muda sio mrefu ataludia dili zake za wizi wa magari,la sivyo atakufa njaa.

Judi wa Kishua,

Wewe na CCM yako ndo mliofulia kiukweli na ndiyo maana mnatapatapa kufukuzana na CHADEMA. CCM kwishne hamna tena mvuto kwa Watanzania hata kama mngeenda kuchukua dawa ya kuroga kwa Lucifer,it's too late!

Kusema kuwa Lema ni mwizi au alikuwa mwizi wa magari ni cheap politics na propaganda za kihuni mnazofanya CCM. Maana kwa mtu mwenye AKILI TIMAMU ATAULIZA KWANINI LEMA AWE MWIZI WA MAGARI BAADA TU YA KUPATA UBUNGE???KAMA KWELI ALIKUWA MWIZI WA MAGARI POLISI NA INTELIJENSIA WALIKUWA WAPI KUMKAMATA MIAKA YOTE HIYO? KWANINI ALIACHIWA AENDELEE KUIBA MAGARI HUKU POLISI WAKIMWANGALIA TU?? BADO TUTAULIZA TENA, JE HAYO MAGARI ALIYOIBA ALIPELEKA WAPI NA WALIOIBIWA NI AKINA NANI NA KWANINI HAWAJAFUNGUA KESI MAHAKAMANI???JIBU NI HAKUNAGA KITU KAMA HICHO!!!

Ni mtu zezeta tu asiyeweza kufikiria chochote ndiyo anaweza kukubaliana na uongo huu rahisi wa mchana kweupe. CCM hapa hakuna nyimbo sana sana mnazidi kujichafua na sawa na mtu aliyekunya na akaanza kujipaka mavi yake mwenyeeewe!!!!

Hapo ndipo CCM mlipofikia. Watanzania wote wapenda HAKI wanajua kabisa HUKUMU YA KESI YA LEMA ILIPANGWA MAKSUDI ILI KUMNG'OA LEMA KWENYE UBUNGE NA HATIMAYE KUDHOOFISHA NGUVU YA CHADEMA KATIKA JIJI LA ARUSHA. Hata hivyo bado haijawasaidia CCM maana bado Jimbo la A.Mash limeenda kwa CHADEMA. Hizi ni salamu za MJOMBA KWAMBA UCHAGUZI MKUU UJAO WA 2015 AU KABLA KAMA IKITOKEA CCM MSITEMEE KUSHINDA JIMBO LOLOTE MKOA WA ARUSHA. Mmewasha moto utakaowa choma wenyewe! Time gonna tell!
 
Back
Top Bottom