Recent content by zambrotta

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya AFCON 2015

    Wakuu habarini za leo? Naombeni msada wa taarifa zinazohusu Mashindano ya Kombe la Mataifa Huru ya Afrika 2015, hususan Ratiba! Natanguliza shukrani zangu, na kuwatakieni nyote, wadau, Heri ya Mwaka Mpya 2015.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    Umenena Mkuu!
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    Umenena Mkuu!
  4. Z

    JamiiForums Tanzania ITV hawajui wakifanyacho Kwa Kufanya Siasa Chafu kupitia TV yao!

    Safi sana Mangatara!
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Mashuleni sio sehemu salama tena kwa watoto wetu

    Pole sana Mkuu slim5. Huyo Mganda anataka kutuharibia Binti yetu, ambaye ni Taifa la leo! Fuatilia mpaka tuelewe mwisho wake!
  6. Z

    JamiiForums Tanzania CCM Ipo Njia Panda - Haina Jinsi zaidi ya kuitumia Kete Ya Dr. Magufuli

    ...ukoo wa panya ni wa panya tu, wote dugu moja...FUTA, DELETE CCM.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Warioba anafanya kazi hii kwa niaba ya nani? Huo ni uchochezi

    Mkuu upo sahihi kabisa! Shame on him.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Harbinder Singh Sethi: Mimi ni mtanzania halisi, nimezaliwa Iringa

    muulizeni amewahi kula mbwa? kama jibu ni hapana basi hawezi kuwa amezaliwa iringa? Hahahahahaha, Mbavu zangu! Mkuu kayaman, we mubayaa!!!!
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mshikemshike Dar, Mbowe na Dr. Slaa walikamata Jiji

    Safi sana Makamanda wetu! Pigeni kazi hadi Magamba wasalimu amri!
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Watoto wa mitaani na wanavyotumika

    Kitendo alichofanyiwa huyu mtoto, ni unyama uliopitiliza kabisa. Wazazi tunapaswa kuwalea vema watoto wetu. Pia nampa pongezi huyu bwana, kwa kujali na kutetea haki za watoto. Wote tunapaswa kuuiga mfano huu!
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani waliopiga picha ya mahaba wakiwa na sare za Polisi wafukuzwa kazi

    Kazi kweli kweli! Kamnyange kametulia kama vile kanasukwa nywele. TEHEE TEHEEEEE.:lalala:
Back
Top Bottom