Recent content by zakazaka

  1. Z

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    Hivi ni kwanini muafaka wa chadema na Serikali usainiwe na waziri wa michezo john nchimbi? Kuna mantiki ipi? je sio danganya toto?
  2. Z

    Rais Kikwete na mazungumzo na ujumbe wa CHADEMA

    chadema wamefurahi sana kupiga picha na Rais yaani baada ya kupiga picha meno 32 ya mbowe na safari, baregu mnyika yameonekana, kweli wapinzani wetu ni vichekesho.
  3. Z

    CHADEMA, Kikwete uso kwa uso 27th Nov 2011

    Leo Rais Jakaya Mrisho Kikwete anakutana na ujumbe na viongozi wa CHADEMA ikulu kwa mazungumzo ya kujadili muswada uliopitishwa na Bunge ambapo wabunge wa chadema walitoka nje eti hawaukubali. wakati waliishawahi kutoka ndani ya bunge kwa hoja eti hawatambui mchakato uliomuweka madarakani Rais...
  4. Z

    Kikwete akubali kukutana na CHADEMA

    wana njaa tu, wanajipeleka kwa kikwete namna hiyo, kweli viongozi wa siasa cdm hamna, MH kikwete wape chai, na bahasha hao, ni njaa ndio inayowasumbua.
  5. Z

    CHADEMA wakionana na kikwete Kushiney

    Viongozi wa chadema wanatembea na lebo ya bei nyuma ya migongo yao, usipate tabu kikwete waambie wageuke utaona bei yao, wamejileta wenyewe hao kwa njaa zao, thamani yao ni ndogo mno.
  6. Z

    Kutoka Mövenpick: Mdahalo wa Katiba - Lissu vs Mnyaa

    imekuwa nikiwasikia kila wanapoongelea muungano utawasikia sera yetu kuhusu muungano ni serikali 3, sera ndio hasa chanzo cha ugomvi kati ya nyerere na maalim sefu juu ya mfumo wa muungano na kupelekea yeye na wenzake watano kufukuzwa CCM, hii sera ya CUF tangu ilipoanzishwa 1992 na wanaendelea...
  7. Z

    Kutoka Mövenpick: Mdahalo wa Katiba - Lissu vs Mnyaa

    chadema bado ni Wachanga mno kisiasa huko wanapopita leo CUF waliisha pita miaka 10 iliyopita,
  8. Z

    Mwanamke ajifungulia barabarani

    hawawezi kumuelewa hawa udini umewakaa sana labda angekuwa yule padri mzinzi slaa.
  9. Z

    Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

    safi sana Rais wetu kikwete waambie hao wajinga wachache, wanaompinga ni wachache ambao hawana hoja wanasukumwa na UDINI.
  10. Z

    Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

    Tatizo la kikwete ni uislam wake, wakristo wengi wana chuki na kwa kuwa wao ndio waandishi wa magazeti ya udaku.
  11. Z

    Prof. Ibrahim Lipumba, anatupenda watanzania kipindi cha uchaguzi tu?

    Jamani Lipumba yuko us alipata bahati kati ya maprofessor 360 duniani walio omba na kufanikiwa kuwa kati ya maprofessor 16 na yeye akishika nafasi ya 2, wapo shirika la uchumi la umoja wa mataifa wanashughulikia mtikisiko wa uchumi Duniani, usiwe na wasi wasi mwezi wa 2 atarejea baada ya...
  12. Z

    Huyu Dk Bana katumwa na nani?

    tatizo la wafuasi wa chadema wengi bado wajinga wa siasa wao wanavyotaka kila mtu awe chadema, na huwa hawataki kupingwa, kwao hoja ya nguvu badala nguvu ya hoja.
  13. Z

    Our time is now: CHADEMA msirudi bungeni mpaka 2015!

    ukifuatilia siasa za chadema na wanachama na wafuasi wa chadema tatizo lao kwa serikali hii ni kikwete tatizo lake wanaomlalamikia sijui ni utendaji mbovu wa kazi au dini yake, maana kauli yake utawasikia aondoke ameshindwa, ameshindwa ni bora mkapa, bora angelikuwa Lowasa, Lakini huyu mvaa...
  14. Z

    CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    Maneno makali ya dharau yaliyotolewa na mb tundu Lissu jana kwa kweli yaliwafadhaisha wabunge wa chadema viti maalum Mh Raya hamisi na mwenzie kwa kweli niliwaona wameinamisha vichwa vyao chini wakijutia maamuzi ya wao kujiunga na chama hicho, maana hii imekuwa ni kawaida kwa Mh Lissu na...
  15. Z

    Kashfa ya ngono yamtatiza mgombea urais

    zinaa kwao hao ni ibada.
Back
Top Bottom