Mwanamke ajifungulia barabarani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke ajifungulia barabarani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zakazaka, Nov 18, 2011.

 1. z

  zakazaka Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawawezi kumuelewa hawa udini umewakaa sana labda angekuwa yule padri mzinzi slaa.
   
 2. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yaani wewe kama ni mwanaume basi si riziki na kama ni mwanamke basi ni haki yako kumsifia mwanaume kwa kukukuna vizuri.
   
 3. Bebrn

  Bebrn Senior Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  leo kama dk 5 zimepita nikiwa hapa barabara inayoelekea pepsi nimeshuhudia mwanamke mmoja akijifungua barabarani kwa msaada wa baadhi ya wafanyakazi wa pespi(wanawake) na wapita njia, ila amejifungua salama na sasa wamempeleka hsptal! Hv ni kweli m2 unafika siku kama hiyo alafu bado unazulula 2? Au tatizo ni nini?
   
 4. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kichwa cha habar na unachotaka tuchangie ni tofaut sana,zaid ya hapo tutajikuta tunamtukana.
   
 5. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu yuko na huyo mama,namuombea baraka zaidi.Je, tumeshudia wangapi wakipoteza maisha wakati wakujifungua wakiwa Hospitali na vitua vya afya ndani ya miaka hamusini ya uhuru wa tz?
   
Loading...