Recent content by zakaria ramadhani

  1. zakaria ramadhani

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimejaribu jackpots ngoma imekula gem 6 tatu bado hazijachezwa sport pesa, vp izo tatu zikiwin wanatoa mpunga hata kwa timu 9? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. zakaria ramadhani

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naanzia hapa hodi humu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. zakaria ramadhani

    $

    Mpo humu! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. zakaria ramadhani

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Keep this,,, finally game it will be (Liverpool & Bayern Munich.) over!!!!
  5. zakaria ramadhani

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kokoro hilo pitanalo acha ufundi waku edit.
  6. zakaria ramadhani

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kipindi hiki kinaweza kua kigumu kwa mechi zilizobaki za ligi zitakazokutana na man u kutokana na kuona kua upo uwezekano wa city kuzingua, siku ibetia kishabiki ila upepo niliuona kwa nafasi zao ktk msimamo.
  7. zakaria ramadhani

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzee wa mahaba niue uaziangalia dk lkn?
  8. zakaria ramadhani

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama vp toka na hii uhakika hutalala njaa leo.
  9. zakaria ramadhani

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Braza gem 10 zimekushinda 200 utaziweza kweli? Unachotaka kukifanya kitaa tunakiita jaribio lakutaka kujinyonga asee.
  10. zakaria ramadhani

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    namtafuna kanji in play taratiiibu na kamtaji kadogo
  11. zakaria ramadhani

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    weka nyumba rehani uje ununue griss yaklainishia baada ya masaa matatu.
  12. zakaria ramadhani

    Netanyahu: Jerusalem, Judea and Samaria will never again be taken from us!

    Dhana ya neno israel imetokana na pale mungu alipomuambia yakobo jina lako utaitwa israel na sio yakob tena, huyu israel kizazi chake baada ya kuishi misri utumwani kwa muda mrefu ndipo musa alipo alipotumwa kuwakomboa na kuwapeleka ktk nchi ya ahadi kanaani kutokea misri, kwahivo wakawa ni wana...
  13. zakaria ramadhani

    Netanyahu: Jerusalem, Judea and Samaria will never again be taken from us!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom