Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Ahsante sana mkuu, Uko vizuri kwny uchambuzi wa makala za aina hii.

Big up sana The Bold
 
Ni vema pia ukafuatilia kuhusu kifo cha JFK Jr, naskia pia walihusika hawa jamaa
 
Nashukuru sana mkuu kwa kunitia moyo...

Hii inakwaza sana aisee! Daaahh..
Bold, hii story wakati unaianza, kuna kipengele ulikiongelea kwamba wakati wanakagua barabara (route) ambayo msafara wa Kennedy unapita, kuna kitu walikigundua, lakini walikipuuzia. Ulisema utakuja kukizungumzia tena, lakini ujakizungumzia hadi mwisho. Natamani mno kujua ni nini ilikua. Naomba uiongelee kama hautojali mzee, Kazi Nzuri Sana.
 
Nimegundua inawezekana CIA walimmaliza pia robert kwa kujua kuwa akiingia ikulu ataliamsha dude.
 
Kazi nzuri The Bold kwa wenye muda sikilizeni hii link ya you tube kupata ukweli . Ni kama masaa 3 hivi ila utapata mengi humo.
 
VERY INTERESTED MKUU, HII STORY YA KENEDY INANIFUNDISHA MENGI SANA KWANZA KENNEDY KATIKA UONGOZI WAKE ALIWAAMBIA WAMEREKANI JIULIZE UTAIFANYIA NINI MAREKANI NA SIYO MAREKANI IKUFANYIE NINI NA HASA AKIWALENGA MABEPARI KAMA NINGEKUWA MMOJA WA FBI NINGEANZA NA HUYU Kenny O'Donnell ambaye pia alikuwa ni katibu NA RAFIKI YAKE MKUBWA JIULIZE KWA NINI ALISISITIZA GARI IWE OPEN JUU NA KWA NINI MSAFARA ULIPIGA KONA NA KUFUATA LILE JENGO LA Texas School Books Depository ALILOKUWEPO SNIPER..PIA TRUMP ANATAKA KUFUNUA MAFAILI YOTE YA KENNEDY ILI KUJUA CHENI NZIMA YA TUKIO.. FALSAFA ZAKE KAMA ZA NYERERE NA MAGUFULI ANGALIZO NI KUWA MAKINI NA WATU WANAOKUZUNGUKA KATIKA UONGOZI NA HASA KAMA KIONGOZI MPAMBANAJI KAMA MAGUFULI .
Wewe ni bonge la pimbi, unatumia ubongo au kamasi ku-quote thread ndefu Hivi?

Bichwa lako!
 
Back
Top Bottom