DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 40,381
- 98,832
Mashaka ya nn wakati Mou atakuja kupaki basihapo kwa man u mbona kama ninapata mashaka?
Akijiandaaa na uefa jumanne.
Mashaka ya nn wakati Mou atakuja kupaki basihapo kwa man u mbona kama ninapata mashaka?
Inamaanisha nini mkuu..Inplay
Madrid vs eibar
First half corner handicap: Madrid (+1.5)
Odds: 1.45
saw mkuu japo sioni akipaki basi mechi hiiMashaka ya nn wakati Mou atakuja kupaki basi
Akijiandaaa na uefa jumanne.
Wacha game ianze, ila mourinho hawez kufunguka.saw mkuu japo sioni akipaki basi mechi hii
hahahaha agiza mkuu kwan juve amesha maliza?Wakuu tayar real madrid wanaongoza huku vp niagize kabsa au nisubr kidogo
Juve mkuu leo hanihusu maana hich ni kiporo cha jana nilibakiza hii mech nichukue changuhahahaha agiza mkuu kwan juve amesha maliza?
*****BET WOOON****Inplay
Madrid vs eibar
First half corner handicap: Madrid (+1.5)
Odds: 1.45
Asante mkuu jana nilichagua timu 8 kwenye mkeka huuHii apps inaitwJe
****BET WOOOON****Inplay
EPL
Man utd vs Liverpool
First half corners: over 3.5
Odds: 1.51
Mzee wa mahaba niue uaziangalia dk lkn?Analeta ushabiki na mahaba Niue aliyonayo kwa Man utd kwny mikeka.
*****BET WOOOOON*****Inplay
First half shots on target: Liverpool Double chance
Odds: 2.01