Recent content by zaishose

  1. zaishose

    JamiiForums Tanzania (TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

    Marehemu alikuwa mbinafsi Sana
  2. zaishose

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Inawezekana ni maamuzi Tu mm mtoto nimepata nikiwa na 35 mwaka huu
  3. zaishose

    JamiiForums Tanzania Operesheni ya kumsaka min-me

    Kapotea tena bwashee
  4. zaishose

    JamiiForums Tanzania Ukijitizama kwa kioo na ukijifanyia tathmini huwa unapata picha ya mtu gani maarufu

    Bro najiona Melania Kwa familia kiuchumi najiona Musk
  5. zaishose

    JamiiForums Tanzania Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

    Anastaafu mdomoni Tu moyoni bado anataka kucheza,nguvu anazo bado
  6. zaishose

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya Afya ya Jeshi(JWTZ) haitusaidii Wanajeshi na Familia zetu

    Kwani mkuu wenu hajarudi mkamueleze Sisi hayatuhusu 😏
  7. zaishose

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

    Malizia mkuu nipo kwenye mvi
  8. zaishose

    JamiiForums Tanzania Hili lilikuwa kama swali kuhusu pisi tano nilizofanikiwa kuona hata picha tu

    Kwa hiyo mm kiazi bwashee 😆😆
  9. zaishose

    JamiiForums Tanzania Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

    Kuna mmoja ananiambia anakula mboga za majani damu ipo nimeshangaa labda uzoefu maana ni mtoto wa 3,mm nilimeza hizo dawa na nilikuwa na akiba zikiisha kabla ya siku ya kwenda naendelea kumeza
  10. zaishose

    JamiiForums Tanzania Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

    Ilinitokea damu kutoka nyingi wakati najifungua niliona Dr ananibonyeza kwenye kitovu na mkono mwingine uko ndani alivyomaliza damu ikawa inatoka kawaida,pole jipe muda utakuwa sawa
  11. zaishose

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton: Kuna connection gani Kati ya Mawakili wa Serikali na Mhe. Lema?

    Lema kafika bei
  12. zaishose

    JamiiForums Tanzania Je majibu ya utra sound kuhusu jinsia ya mtoto huwa ni %100?

    Maandalizi ya mapema ni mazuri
  13. zaishose

    JamiiForums Tanzania Je majibu ya utra sound kuhusu jinsia ya mtoto huwa ni %100?

    Kuna nguo anavaa mtoto yoyote ndo ununue hizo
  14. zaishose

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

    Mwache amalize mambo yake,ww tafuta mwanamke mwingine mzalishe Kila mwaka mtoto,kakupa njia rahisi ya kuwa na mke wa pili
  15. zaishose

    JamiiForums Tanzania KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

    Mtajijia wenyewe
Back
Top Bottom