Recent content by zahiri ulaya

  1. Z

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Daudthefarmer nami nitumie kwa zahiriulaya9@gmail.com. nipate information za kufungua hilo duka
  2. Z

    Play station 3 inauzwa.

    Ndo kitu gani hiyo wakuu? Hebu tupia picha bas pengine tutapanda dau
  3. Z

    Kasi ya kugufurika awamu ya 5

    Arusha sukar 2400.tutakoma kwa kweli
  4. Z

    Pole sana Dada

    Mmmh.kaujumbe murua kabisa ngoja nipate bia nimezee.
  5. Z

    Wasamaria tulifanya makosa kuchangia wahanga wa tetemeko Kagera?

    Da! Ndugu usivunjike moyo.Mungu anajua alichokuandalia kwa moyo wako wa huruma.Hujapoteza kabisa ila kuna baraka Mungu amekuandalia.Heri kutoa kuliko kupokea
  6. Z

    Hata wakipata ajira, bado watalalamika mishahara haitoshi.

    Wajiajiri kwa shughul gani?kwa mitaji IPI ya kujiajiri? By the way wengi walioshika maisha ni ngumu kuwajali ambao hawajafanikiwa. Unamwambia MTU ajiajiri sawa but kivipi?
  7. Z

    Mheshimiwa Rais wananchi wa Kinondoni wamekukosea nini?

    Dah. Hakika Mungu atashughulika na mtu anaemdhulumu mja wake. Usife moyo mheshimiwa
  8. Z

    Ni kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

    We bado unawaza kuongezewa salaty?????!! Hapa kazi tu. Ngoja kwanza tununue ndege
  9. Z

    Mtanzania atunikiwa tuzo kwa kupinga ndoa za utotoni

    Umeandika nini? Au unajifunza?
  10. Z

    Wanasheria wajadili escrow kwa siku tatu mfululizo

    Mulhat Mungu anakuona kwa uliyosema.
  11. Z

    Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

    Ni jambo zuri ila kuna sababu gani kulileta huku jf? Huko ni kujikweza Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  12. Z

    Nataka kutapeliwa ama ndio nishakua millionaire?

    Aise pole. Mimi nami mwezi uliopita walinitumia meseji kama hiyo. Nikaambiwa diplomat anakuja tz. Kweli tarehe 26. 7. 2016 wakanipigia simu eti niende uwanja wa ndege wa JK NYERERE . Nipeleke 580, 000 kwenye kitengo cha mizigo. Sikuenda na wala tangu siku hyo had leo hawajanitafuta. So achana...
Back
Top Bottom