Inconvenient Truths
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 439
- 354
Aliyekuwa mgombea urais wa kike wa kwanza Tanzania (Uchaguzi 2005) kupitia chama cha APPT-Maendeleo, Dr. Anna Claudia Senkoro ameaga dunia.
Inadaiwa aliugua ghafla usiku wa kuamkia leo na amefariki baada ya kukimbizwa hospitali asubuhi ya leo.
Msiba upo nyumbani kwake, Tabata Segerea jijini Dar.
========
UPDATE:
========
Marehemu alijiunga na CHADEMA mwezi Julai 2015 na hadi mauti yanamkuta alikuwa ni kada wa chama hicho.
Marehemu amezikwa makaburi ya Kinondoni jijini Dar, tarehe 7 Januari 2017.
========
JAMII LEO
=======
Matokeo ya Urais 2005)
Jakaya Kikwete (CCM)
9,123,952
80.28%
Ibrahim Lipumba (CUF)
1,327,125
11.68%
Freeman Mbowe (CHADEMA)
668,756
5.88%
Augustine Mrema (TLP)
84,901
0.75%
Sengondo Mvungi (NCCR-Mageuzi)
55,819
0.49%
Christopher Mtikila (DP)
31,083
0.27%
Emmanuel Makaidi (NLD)
21,574
0.19%
Anna Senkoro (PPT-Maendeleo)
18,783
0.17%
Leonard Shayo (MAKINI)
17,070
0.15%
Paul Kyara (SAU)
16,414
0.14%