mmetengeneza matukio mengi sana ya uongo na kizandiki ikiwa ni pamoja na filamu za kigaidi ili tu CDM waonekane wabaya kwa wananchi, mli-achieve nini?!!. Hakika Magamba mwisho wenu umekaribia na kadri mnavyozidi kufanya huu ujinga wenu ndivyo chuki dhidi yenu inavyozidi kuongezeka!
Hivi wewe ndiyo unataka tuamini haya? kama ni kweli alishiriki na anahojiwa kuhusu ushiriki wake ulitegemea aseme kwamba ni kweli yeye ndiye aliyemteka na kumtesa Dr. Uli?. Fikiri kidogo!
Kama huwezi kuyaanika hapa bora ungeacha, wote tuache kufanya mambo ya muhimu kwa maendeleo yetu tukaanze kufanya utafiti juu ya nini Mwakyembe alifanya miaka kadhaa iliyopita?. Then, tutapata degree??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.