Natafuta mpenzi (mchumba) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mpenzi (mchumba)

Discussion in 'Love Connect' started by meba, May 20, 2012.

 1. meba

  meba Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  (This is serious) Mimi mwaume umri miaka 25 nipo Saut mwanza nafuta mpenzi mwenye tabia nzuri ambae tutakuja kuoana nikimaliza chuo mwakani, tuacliana kwa namba 0656179600
   
 2. c

  charlies ps Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwaume ww hauko serious....................na usipomaliza chuo hutamuoa
   
 3. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hapo chuon hujaona wa sifa uzitakaza?
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  nenda buhongwa wapo kibao.
   
 5. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,168
  Likes Received: 3,375
  Trophy Points: 280
  I guess u've got hooked up to the internet lately.
   
 6. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Buhongwa mbali Kongosho, hata nyamalango na nyamazobe mbona wapo wengi tu!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  angaza hapo hostel za masha mbna kuna warembo kibao!
   
 8. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Soma acha u.bwe.ge, nani kakuambia wanawake ni adimu kiasi cha kuomba msaada wa mtandao?, au umeona simu iko idle unataka upate watu wa kukubip!
   
 9. meba

  meba Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wote mnaongea pumba tu. mm nipo serious. Kama hili halikuhusu si unyamaze Watanzania ndo maana humfanikiwi mnapenda kupoteza muda kuchangia pasipo kuhusu
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,763
  Trophy Points: 280
  Wanaume nao wanatafuta wapenzi kwenye mitandao? Kweli nimeamini vijana wa siku hizi hawajui kutongoza. Hesabu mnasema ngumu, hata kutongoza nako kugumu. Kipi kirahisi sasa? Ptuuu!
   
 11. meba

  meba Member

  #11
  May 20, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ww kama hauna akili kwani chuo tunasoma milele?
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  soma wewe!
   
 13. j

  jackline JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hahahaaa! kuna jambo unaficha ndugu,yaani unashindwa kumtafuta binti wa kuoa katika mazingira uliyoishi mpaka unatafuta mtandaoni? duu! wewe uaminiki.
   
 14. meba

  meba Member

  #14
  May 20, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mapenzi ni popote mbona wengi wamefaniwa kupata kwenye mtandao mm mwaminifu sana jack nieleweni mm nko serious
   
 15. meba

  meba Member

  #15
  May 20, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  chuo wanasoma wa2 wazima mwambie yule mtoto wa primary asome, co mtu wa chuo
   
 16. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  slope huwa zina cost zake pia.
   
 17. Z

  Zagallo Member

  #17
  May 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anatafuta wenye tabia nzuri!!!!.
   
 18. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kama kweli uko serious huwezi kuniambia hapo chuoni umekosa. Tatizo ninaloliona ni udomo zege wako.
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Asprin, mfundishe basi tulivyotongozana kwenye uzi wa Konnie asali wa ODM.

  Inaelekea mababu hamuwapeleki wajukuu zenu jandoni.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unatutia aibu wanaume wenzako kwa udomo zege wako. We chuo kizima umekosa demu hadi uje huku..... MTU MZIMA OVYOOOO! (*_*)
   
Loading...