Akiwa na watu ambao hawakuonekana kwenye video ila Lwakatale ndo anaonekana peke yake. Huu ni uongo mtakatifu. Unataka kutuambia kuwa Lwakatale alikuwa anapanga mipango hiyo na mizimu/ mashetani? Kwanini yeye aonekane anaopanga nao wasionekane?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka unazungumzia baba na mtoto. Je, mtoto akinyea mkono utaukata na kuutupa? Jibu ni hapana. Mtoto wako hata awe vipi, utampenda tu. Ingekuwa hivyo Mungu asingenyesha mvua kwa wenye dhambi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati unapatiwa hiyo mimba ulituambia? Au wakati unataka kufanya uchafu wako na huyo rafiki wa mmeo ulitushirisha. Pambana na hli yako usitake kutushughulisha bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka wa kuja wilaya ya Chemba kutoka wilaya ya Bahi tubadilishane mimi niende wilaya ya Bahi kwetu. Akina njore hampo humu. Simsaka fyuka na kayi wuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika wewe ni mtu muovu sana, unaonekana kuwa na roho mbaya kuliko ya mchawi. Kwa hiyo wakisema watu wa jimboni kwake ndo utaamini kuwa Lisu ni mtu mhimu sana ndani na nje ya nchi? Soma zaburi 34:19-21 ujifunze zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duniani kote wasema kweli huchukiwa na kuundiwa zengwe, lakini wanafiki hupendwa na kuongezewa vyeo/madaraka. Get well soon our dear brother lisu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.