NJOO MPWAPWA DODOMA NIJE...

DODOMA MANISPAA

IRINGA MANISPAAA

AU BABATI MJINI

IDARA YA ELIMU MASINGI

kama uko tayari njoo PM
 
Hakuna uhamisho unaofanyika nje ya mkoa kwa sasa.Nimeuliza TAMISEMI kwa uhakika.Nasisitiza hakuna...Chanzo Changu ni cha kuaminika.
Watu wanahama ujieleza nashda yako ikawa ya mshiko unahama
Nimeona wamama wawil sekretariawamehamia halmashauri nilipo baada ya waume zao wamestaafu huko walikokuwa
Mimi ninabarua ya jamaa yangu amehama juzi toka Lindi kwenda geita hapo unasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom