Zachayo Nghambi
Member
- May 1, 2017
- 16
- 11
Hapa Bongo upinzani hualikwa ili wakazodolewe na kudhalilishwa mbele ya kadamnasi, siyo kujadili mambo ya kitaifa, jaribu kufuatilia.
Kadri unavyo zidi kupanua watu ndio wanazidi kutamaniSahihisho: Ni vitu maalum
AJuzi Chadema wasema wavunja urafiki na Rail kwa sababu ya kuongea na Jpm
Agiza kinywaji, bili kwangu!upinzani sio uadui ila chadema ni adui
Vp wale waliopigwa bit kwa kutaka kwenda kumuona Lema? Je na yule mbunge wenu anaesuguliwa na wa upinzani? Hukusikia bit la yule mwehu.Kwa taarifa yako, kila hafla upinzani wa Tanzania hualikwa ikulu ila pepo la kususa/kuzira ndilo linawasumbua. Toka waliposusia kuhudhuria kuapishwa kwa raisi,hafla za wabunge nk. Kama Wapinzani wanatangaza hadharani kuwa hataki kuona wabunge wa upinzani wakishirikiana na CCM, wasionane nk, nani wa kulaumiwa hapo?
Mkuu UVCCM wakitukana na wasipopigwa ban nasi hujaa asira ndipo hapo ndungai anapokomesha upinzani na kuwaacha walioanza matusi.tendeni haki.Huyu amepigwa bana lakini wale UVCCM wanatesa tu hata wakileta maneno ya kuudhi.Double standard mpaka JF
What kind of rubbish you're talkin about? Where is SOUTH AFRICA? Ipo kaskazini au au kusini haya angalia maendeleo ya South Africa then make a comparison na northern countries unazosema zipo juu ya kichwa chako, acha kujishusha hadhi ndugu yangu Most of the African Leaders nor ruling party neither opposite party wote wanafki tuIQ ya mtu mweusi,maarifa,n.k inaongezeka kadri unavyo-move kwenda North ya bara la Afrika.
Kwa mfano,utagundua nchi za Afrika Magharibi ziko juu kimaendeleo kuliko hizi zetu za Aftika Mashariki kwa sababu ziko juu yetu na pia nchi zilizo juu au jirani na nchi za Afrika Magharibi ambazo ni za bara la Ulaya na Asia zina maendeleo zaidi hivyo Kenya iliyo juu yetu(North) imefuata utaratibu ule ule ndio maana wanatuzidi hata kwa maendeleo kama nchi
In short you will discover that,regions define human intelligence,level of development,colour,etc.
In other words I would say that,human intelligence,level of development ,colour,etc,is a function of region where that human being is found.
However,as it is always the case even in proven scientific laws,some exceptions are always there.
Mkuu UVCCM wakitukana na wasipopigwa ban nasi hujaa asira ndipo hapo ndungai anapokomesha upinzani na kuwaacha walioanza matusi.tendeni haki.
Swissme