Recent content by ZACA

  1. ZACA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu anamshangaa muislamu mwenzake anayekula nguruwe wakati yeye anakula kisamvu cha kopo.

    Naomba kupewa rejea kutoka kwenye Quran ili nitafakari zaidi.
  2. ZACA

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Ukiweza wewe ni kichwa

    Hili swali lilikuwa humu mda mrefu kama sikosei ni 2013.
  3. ZACA

    JamiiForums Tanzania Barua iliyowasilishwa Ubalozi wa Vatican na kundi la 'Wakatoliki' imevuja

    Received date???? Ndo hii kweli Au ndio hangover za mwaka jana???
  4. ZACA

    JamiiForums Tanzania Ukweli wazidi kujulikana. Dada aliyejitambulisha kama Mkatoliki ni Katibu wa UVCCM Tawi la Dovya

    When a mission fai When a mission fail, the next is to clear your footprint. Adui mkubwa wa huyu dada kwa sasa ni yule aliemtuma.
  5. ZACA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka 12 na Renata: Safari ya Mapenzi iliyofika mwisho ghafla....

    Tunasubiri mwendelezo maana kichwa cha huu uzi ni miaka 12 ila story yenyewe ipo mwaka wa 3. Jitahidi mkuu umelizie miaka 9 iliyobaki
  6. ZACA

    JamiiForums Tanzania Ujasusi: Herbert Curkus muuaji aliyeuliwa na kuhifadhiwa kwenye sanduku la kusafiria

    Usiache kunitag kwenye story kama hizi mkuu
  7. ZACA

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dyaboli Moyo aliyeandika kitabu chenye "ukakasi" Wasomi Wajinga ni nani?

    Bado sjakipata mkuu
  8. ZACA

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dyaboli Moyo aliyeandika kitabu chenye "ukakasi" Wasomi Wajinga ni nani?

    Nakiomba mkuu tafadhali sana
  9. ZACA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

    Badala ya Marekani nikasoma Mariakani, Jamaa yuko USA Mawazo yangu yapo Kenya.
  10. ZACA

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa Safina ya Nuhu imeonekana, basi ni kweli hata Moto wa Milele upo. Tutubu Mapema!

    Nimefungua link nikasomasoma kilichomo ila nilivyoona ile picha nikajiuliza hivi kile kilivyo ndo kilibeba bwana na bibi kwa wanyama na mimea iliyopo Dunia hii?? Ok tufanye ni kweli, watutafutie na bustani basi
  11. ZACA

    JamiiForums Tanzania Nani kafanikiwa kuomba usajili au namba ya NHIF kupitia mfumo wao mpya wa NHIF Self Service?

    Mi mwenyewe nmeshindwa kumsajili mtoto kwa sababu cheti cha kuzaliwa hakisomani na RITA, hii ni changamoto mpya kwakweli
  12. ZACA

    JamiiForums Tanzania Eti club masikini inatakuinyang'anya mchezaji club tajiri

    Daah sawa bana.
  13. ZACA

    JamiiForums Tanzania Nimekiwasha NHIF

    NHIF mkoa wa Kagera kuna nini??? Mtu kaomba Cadi mwaka wapili huu hazitoki na hakuna majibu ya kueleweka kuna nini??
  14. ZACA

    JamiiForums Tanzania Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

    Asanteni sana huu ni msaada mkubwa sana kwangu
  15. ZACA

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mawasiliano boss
Back
Top Bottom