Recent content by Z kama Z

  1. Z

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Pole sana unakesi kubwa ya kujibu
  2. Z

    Mdhamini/sponser

    Hallo wana JF Habari za mchana poleni sana na majukumu ya siku nzima Mimi ni kijna nina mkakati wa kufungua shule ya english medium huko jijini mwanza . Nko katika maandalizi ya awali kabisa ya msingi ambapo ningependa kujenga shule nzuri rakini itakayo tumia gharama kidogo kabisa kulingana...
  3. Z

    Natafuta projector ya epson ben q au sony.

    jamani me kupm nilishashindwa ka vp andika namba yako hapo ili tuwasiliane.
  4. Z

    Natafuta projector ya epson ben q au sony.

    wanajamvi habari za jioni kwq yyte anayeuza au kujua nitapata wap projector hizo anifahamishe au atoe kontact zak tuwasiliane ninazihitaji zile hata kwenye mwanga unaona vizuri
  5. Z

    Biashara ya viatu china

    asante bwana mtukuyu unaweza nipa yake au tunaweza wasiliana namba yangu ni 0767645631 tafadhari tuwasilane ili nipate detail jinsi ya kufanya
  6. Z

    Biashara ya viatu china

    asante sana bwana komeka kwa msaada wako unaweza kunicheki kupitia 0767 645631 hii ni ya nyumbani nipeigie kuanzia saa 1 jioni na hii ni ya kazini 0767 566570 piga any time mpka 12 jioni uliza samwel golanga. Tafadhari nasubili simu yako
  7. Z

    Kushonwa baada ya kujifungua

    Nashukuru bwana kim Jong un unaweza kunicheki kupitia hii namba 0767 645631 nimejaribu kuku PM naona kimya.
  8. Z

    Biashara ya viatu china

    Wandugu habari za asubuhi Mimi ni mfanya biashara nko mkoani nafanya biashara ya viatu nauza kwa jumla na rejareja nilitaka nipanue bishara yabgu iwe ya jula tu kwa ss nilifikilia kwenda china ila nina kama milioni kumi kama mtaji tu nauli na mambo mengine niko sawa. nauliza kwa wale wazoefu...
  9. Z

    Kushonwa baada ya kujifungua

    Asante sana kwa ushauri wako may be kwa ufafanuzi ni aina gani ya operation hiyo
  10. Z

    Kushonwa baada ya kujifungua

    Habari za asubuhi wana Jamii<br>Kuna hili tatizo la wanawake kuchanwa wakati wa kujifungua ili kuongeza njia mtoto apite vizuri na baada ya kujifungua mama hushonwa, Sasa huwa inatokea kuwa mwanamke analalamika kuwa njia yake imesogeleana sana na ile ya haja kubwa hasa hasa wakatiwa tendo la...
  11. Z

    Tumbo kujaa Maji

    1. Ni wa kike 2.Ana Miaka 21 3. alianza kupatwa na tatizo hili mwaka huu ka miezi 3 nyuma 4.Hatumii kilevi cha aina yoyote 5. Hali yake kwa ss sio nzuri kwani moyo pia unaaanza kuuma 6. Ana uzito wa kili 55
  12. Z

    Tumbo kujaa Maji

    Hi Wanajamii habari za asubuhi jamani ninapenda kama kuna watu wanaweza kuelewa hii kitu ni kuwa kuna shemeji yangu ana jawa na maji tumboni walienda kupima wakaambiwa milija fulani hivi haifanyi kazi. Sasa nlitaka kujua tiba ya hii kitu halafu nijue chanzao chake ni nini Please kama kuna...
  13. Z

    Mnaakaribishwa wooote

    Jamani mchango upo kamakawaida si mjua gharama za maisha kidogo ziko juu kidongo kwa single itakuwa 30000 na dauble 50000 karibuni sana wapendwa
  14. Z

    My wife has spoiled my day!!

    MJINGA ww usije tena kutuandikia massage zako za u ubabe huimu kama umekosa post ni bora usome za wenzako Jamani samahani sana kama nimetumia lugha chafu maaana jamaa kaharibu kabisa siku yangu nachukia sana vitu kama hivi halafu mtu anajisifu kabisa,
  15. Z

    My wife has spoiled my day!!

    Hi guys naomba labda tukumbushane jamani kitu hichi ambacho watu wengi tumekuwa nakasumba asa wanaume wengi Yaani unashindwa kupata time hata ya kupumzika home na mkeo zen unaenda kuchili na marafiki me i gues rafiki wako wa kwanza ni wife wako. Halafu unarudi usiku unampa kipondo so kisa we...
Back
Top Bottom