Recent content by yusuph Mabina

  1. yusuph Mabina

    JamiiForums Tanzania Kwenye mapenzi

    Sana tu
  2. yusuph Mabina

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na Imani na Salum Mwalimu

    Huyu bwana futuhi hawamtaki tena?😂
  3. yusuph Mabina

    JamiiForums Tanzania Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hakiyamungu umetuchoka kiasichakutupwa jalalani
  4. yusuph Mabina

    JamiiForums Tanzania Nyinyi maskini wenzangu acheni kumsakama Diamond

    Elon mask wabongo
  5. yusuph Mabina

    JamiiForums Tanzania TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

    Simba nayanga niyakuombwa radhi kweli au tumeshindwa kufikiri
  6. yusuph Mabina

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ameanza kunizoea. Naona vimigogoro vimeanza

    CHAPA MAKOFI YALIYO ENDA SHULE ATAKUHESHIMU USIMCHELEWESHE MAANA UNAVOZIDI KUCHELEWA ATAANZA KURUDI NYUMBANI SAA 5 USIKU
  7. yusuph Mabina

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui mambo mengi kuhusu Taifa la Israel

    MIMI NILITEGEMEA UTALETA HISTORIA KAMILI YA TAIFA LA ISRAEL TUNAYOIONA SASA PIA ISRAEL YAKWENYE BIBLIA kumbe nawewe ni hewa tu
  8. yusuph Mabina

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo nimeacha kuchepuka

    🤣🤣🤣🤣🤣🖐
  9. yusuph Mabina

    JamiiForums Tanzania Jipe kipaumbele wewe kwanza

    SAFI SANA
  10. yusuph Mabina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA ni chama gani kinakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi Tanzania kwa sasa?

    KWASASA HAKUNA CHAMA CHAUPINZANI KINACHOAMINIKA WATU WAMEPOTEZA IMANI NAHIVYO VYAMA KUTOKANA NA VIONGOZI WAHIVYO VYAMA KUTANGULIZA MASLAHI YAO MBELE KULIKO MASLAHI YA NCHI
  11. yusuph Mabina

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Tumaini la kweli liko ndani ya Chadema

    ULIMI KUTELEZA HAKUONDOI MAANA YA UFISADI NDANI YA CHADEMA msigwa anamengi yakutuambia sisi wana CCM amemkataa shetani nakazi zake zote
  12. yusuph Mabina

    JamiiForums Tanzania Sio lazima kila kitu kifanyike Arusha, semina na vikao serikalini, pia vifanyikie Lindi, Mtwara, Ruvuma, zimesahaulika

    Fanyeni maendeleo huko ili pawe na vivutio watu ndio watapapenda maana huwezi kwenda kupeleka kongamano sehemu ambayo hata malazi hayakizi watu wenye nyazifa zajuu ,jengeni mahoteli makubwa
Back
Top Bottom