Recent content by Yustas Kisaka

  1. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania History is made! Democratic Republic of Congo is now a new member of the East African Community

    Sasa nahisi yale mambo ya Uganda na Rwanda kufanya DRC Shamba la bibi kwa kuanzisha vikundi vya uasi ili wao wakapore kwa kisingizio cha kupambana na waasi sasa itakuwa mwisho.
  2. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania

    cc; Yericko Nyerere . Tupe mawazo yako 🤣🤣
  3. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania Azam TV kwanini mmeamua kipandisha bei ya ving'amuzi vyenu?

    Ila sidhani kama walifanya utafiti wa kibiashara. Kuwa na wateja wengi ni uhakika wa fedha nyingi kwa muda mrefu kuliko wateja wachache fedha nyingi kwa muda mchache
  4. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni kupotosha, hakuna sehemu Ole Sabaya amedai alitumwa na Hayati Magufuli kutenda aliyotenda, Rais ni taasisi

    Kwa hiyo hata muhudumu wa hiyo taasisi anaweza kumpa maagizo Sabaya naye akatekeleza maana ndio mamlaka ya uteuzi(taasisi)? Nafikiri umepata tafsiri tofauti kusikia Urais ni taasisi
  5. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi "adindishiwa" na mwananchi

    Hivi Naibu waziri ana mamlaka ya kuagiza kukamata mtu na kumuweka ndani kwa vile wamepishana kauli? Nielimishwe.
  6. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa

    Ndio tatizo lenu, mnapenda tabia ya kupongezana na kuita spade kijiko kikubwa badala ya sepetu. Moja ya mambo yanayo mtanabaisha Mtaka kuwa kiongozi bora ni tabia ya kusema ukweli.
  7. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania Simba SC, Kipigo kitakatifu kinaweza kujirudia tena kwa Mkapa

    Mimi naona lile bao la haraka la kwanza ndilo liliwatoa mchezoni Simba. Lakini kwa Mkapa Simba waachane na mambo ya pira biriani, wao kwa vile wako nyuma kwa goli nne waanze na mashambulizi ya nguvu tuu na ikiwezekana kipindi cha kwanza goli zisipungue mbili. Tuliona kule South Simba ndio...
  8. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania Mama Samia, ili ufanikiwe peleka Bungeni hati ya dharura kubadili baadhi ya Sheria zinazokwaza

    Sijui aliwaza nini huyu "mtoa vyeo"
  9. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

    Ufafanuzi mzuri sana umefanya JokaKuu. Asiyekuelewa ni kuwa hataki tuu kama vile ambavyo punda anaweza kulazimishwa kubeba mzigo lakini akakataa kulazimishwa kunywa maji. Ila jina la huyo mbunge wa sasa na ambaye wakati wa Lissu alikuwa DC ni Miraji Mtaturu sio Mtatiro (huyo ni DC wa Tunduru...
  10. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

    Labda mheshimiwa sana Spika Ndugai angetusaidia jambo moja tuu, kwa nini hao anaowasema yeye kuwa hawajafanya jambo lolote kwa wananchi mbona tuliona wakifika kwa wapiga kura wao yaani wananchi wa majimbo husika wanapokelewa kwa heshima kubwa sana tofauti na yeye ambaye watu walimpokea kwa...
  11. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

    Mkuu nyaraka ngapi tunawekewa hadharani na serikali hizi ikiwemo mikataba? Au barua za uteuzi wa wabunge ni nyaraka za siri? Maana siri tuu ndio haiwekwi hadharani
  12. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

    Mtu amemkataa mnayesema ni mwanae, vipi tena mlazimishe aende mahakamani kudhibitisha kuwa sio mwanae? Eitha zibitisheni nyie kwa DNA (barua ya KM) au kubalini sio mwanae (ondoeni hao wabunge)
  13. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

    Utakuwaje na nakala ya barua ambayo unasema hukuandika ndugu yangu?
  14. Yustas Kisaka

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

    Kwanini hiyo barua ya Mnyika aliyopeleka Tume haiwekwi hadharani? Hilo lingeepusha Spika wa Bunge kukejeliwa kama ilivyo sasa na kupoteza heshima ya Bunge. Tupunguze hadithi za kutunga
Back
Top Bottom