Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

Hivi ndiyo wewe ulifukuzwa UDOM miaka ile?? Au nimechanganya mafaili
Naaa, siye huyu wala si UDOM ni UDSM. Aliyefukuzwa ni James Mbatia na kikundi cha watu 7 kwa kumtukana Rais-Mteule Ali Hassan Mwinyi matusi ya nguoni 1985
 
Hapa hujaonyesha ni kwa kiwango gani (kwa ushahidi ulio dhahiri) jinsi anavyojua au unavyojua kama anachokifanya ni janja janja. Nilitegemea uonyeshe huo ushahidi ili hoja iweze kujadiliwa na kuonyesha usahihi wa akina Mdee kuwa bungeni na undumila kuwili wa Chadema katika hili. Lakini kwa jinsi ulivyoanza na kuhitimisha, kwa maoni yangu naona unapiga ramli. Mijadili kama hii isiyo na nyuma wala mbele ni kupoteza tu muda kujidali maana haina hitimisho linaloeleweka.
 
Kwa nini hiyo barua ya Mnyika aliyopeleka Tume haiwekwi hadharani?
Hilo lingeepusha Spika wa Bunge kukejeliwa kama ilivyo sasa na kupoteza heshima ya Bunge.
Tupunguze hadithi za kutunga
kwani wao chadema hawana nakara waliyobaki nayo???
 
Mbowe kaanza siasa akiwa kijana mdogo sana,ndio maana katika hili la covid 19,nyinyi wafuasi wake hamjui nini kinaendelea.
 
Ndugai alimtelekeza Lijualikali alieomba kuwa mfanya usafi ofisini kwake, hata baada ya kukamua machozi na kujiliza hadharani.
Yaonekana hata TAKUKURUnao waliimpuuza.

Nawe ungekuwa na japo tone la busara ungeisha jifunza kutoka kwa yaliyomtokea mganga njaa mwenzio.

Pole sana tafuta njia ya heshima na imara zaidi ya kujiletea kipato, itakusaidia.

Kwa Ndugai siko.
 
Kwani hao Tume kwa nini hawaweki
hadharani hayo majina waliyopewa na Mnyika?
Wewe ni mjinga na mpumbavu wa kutosha. Unatetea kisichowezekana. Kama umetumwa waambie waanze upya.
CHADEMA hawana sababu ya kwenda mahakamani. Hukumu ya umma imekwisha pita Tume ya Uchaguzi na Ndugai ni wahalifu, hiyo haifutiki.
 
Mkuu au kina mwingine umemsahau:

"Mbowe anjaua, Lema anajua na Lissu anajua pia, hata Mnyika yeye mwenyewe anajua."

Kwenye list hii na wewe je? Haumo?
 
Mshauri Mnyika aende mahakamani au aite BARAZA KUU ukiona hafanyi hivyo jua anacheza na akili yako
we senge umeulzwa nani alimtoa gerezan nusrat hanje na kumuapsha knyume cha sheria hujajbu hebu tolea maelezo? Nyie vjana ndo mpo humu mitandaon kumtukana mbowe hv kwel mbowe huyu huyu we mwakibinga ndo unataka kushndana nae. Kuna kpnd ulitaka eti lisu aje ujbzane nae, we mwakibinga mnuka matako ndo upambane na lisu wewe.
Endelea kupambana upate uteuz
 
Kwa nini hiyo barua ya Mnyika aliyopeleka Tume haiwekwi hadharani?
Hilo lingeepusha Spika wa Bunge kukejeliwa kama ilivyo sasa na kupoteza heshima ya Bunge.
Tupunguze hadithi za kutunga
Wapi serikali hufanya kazi namna hiyo kwa kuweka hadharani nyaraka kisa kuna watu wanaongelea sana suala tajwa? Labda serikali ijayo ya mbowe
 
Wewe ni tume ya uchaguzi?
Kama sio tume umejuaje kuwa Mnyika ndio kapeleka majina?
Siku nyingine usiweke namba ya simu pekee bali weka na akaunti namba kabisa
Hii namba jamaa ameweka ni ya M Pesa, tutupie sadaka, au anataka tumnunulie bando?!
 
Sasa kama tumeimegoma kuiweka hadhalaniii, kwa nini chadema isichukue jukumu la kwenda mahakamani kuomba ushahidi huo??
Mtu amemkataa mnayesema ni mwanae, vipi tena mlazimishe aende mahakamani kudhibitisha kuwa sio mwanae?
Eitha zibitisheni nyie kwa DNA (barua ya KM) au kubalini sio mwanae (ondoeni hao wabunge)
 
Kwahiyo mumeona mahakama haifai kuwapa haki. Sasa hao vikongwe wamama bawacha wanaohangaika na ndugai watawaletea mwalobaini wa hilo tatizo huku viongozi wanaume wa chama wamestarehee??? Achani kutudanganya
Subiri uone. Hili suala linawahusu "wabunge" wanawake, linashughulikiwa na wanawake. Lingebebwa na wanaume ingekuja hoja ya mfumo dume. Kuhusu matokeo ya hicho wanachofanya hao wanawake wa chadema kupeleka pressure kwa Ndugai, subiri utaona matokeo. Itoshe tu kusema hao Covid 19 hawatafika 2025.
 
Hawa watu "Verified" lazima utakuta ni wale wanaojipendekeza kulamba matako ya watawala ili wafikiriwe kwenye ufalme.

Hao Covid-19 ni ubabe wa Magufuli kwa kuwatumia usalama wa taifa akifikiri uwepo wao bungeni ungeweza kumsaidia kupata fedha za wafadhili dola bilioni moja kwa mwaka.

Yeye Magufuli kawatengenezea hao wanawake ulaji huku yeye sasa akiozea kaburini, nafikiri hakujua hili litatokea. Ndio maana inasemwa kwamba ajuaye kesho ni Mungu tu.
 
Back
Top Bottom