Simba SC, Kipigo kitakatifu kinaweza kujirudia tena kwa Mkapa

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,116
187,866
Habari.

Jeff Lea mchambuzi wa Efm kwenye kipindi cha Sports HQ leo, ameendelea kuzungumza vyema kuhusu Simba Sc juu ya mechi ya marudiano hapa kwa mkapa kwa kusema "Anaona kuna remix inaweza kuwepo akiwa na maana kipigo kile kile walichokipokea FNB stadium cha bao nne kinaweza kujirudia tena hapa hapa bongo"

Hapo awali aliwahi kusema kwa safu ya ulinzi wa Simba Sc ilivyokuwa mbovu basi Simba Sc hawatofika mbali kwenye haya mashindano.

Naungana na Jeff Lea kwa kauli yake ya Remix kujirudia tena kwa Mkapakapa stadium maana ni ngumu sana kubadili timu kwa kipindi kifupi naamna hiyo.

Wewe una maoni gani juu ya uchambuzi huu wa Jeff Lea juu ya kipigo kitakatifu tena kukishuhudia kwenye ardhi ya kwetu.

Nawasilisha Mzee Mkoloni

Cc: Kichwa Kichafu.
 
Mimi naona lile bao la haraka la kwanza ndilo liliwatoa mchezoni Simba. Lakini kwa Mkapa Simba waachane na mambo ya pira biriani, wao kwa vile wako nyuma kwa goli nne waanze na mashambulizi ya nguvu tuu na ikiwezekana kipindi cha kwanza goli zisipungue mbili.
Tuliona kule South Simba ndio walimlliki zaidi mpira licha ya kufungwa, hivyo nyumbani wanaweza kupindua meza.
IMG-20210516-WA0038.jpg
 
View attachment 1788146
Bao la haraka ndio liwatoe mchezoni kwa dakika zote kwahiyo kocha hadi anaenda mapumziko walienda kuzungumza nini hasa?
 
Naona simba wakipigwa 5G Kwa Mkapa
Nimeota Leo kuna jogoo wawili mweupe na weusi Kwa mbali sana , mwingine ni golden na weusi wa mbali

Jeupe na weusi kidogo alikuwa mtumwa kapigwa na jogoo la golden na weusi kidogo akawa anakimbia Tu kujificha akawa anamfuata mama wa mji kila anampenda ili kumsitili baadaye nikajiuliza huyu jogoo vipi kumbe kashambuliwa na jogoo la jirani

Baadaye nikatoka mlangoni joggoo la jirani lipo mlangoni linamkomalia limdunde tena nikalifukuza .

Nikaona siyo poa ngoja kabisa nilifuatilie nilikamate

Jogoo wa jirani akapotea nimetafuta mpaka nikanyoosha mikono

Ukweli Simba wasijipe moyo hawawezi hao jamaa hata Kwa uchawi

Watakula za uso tu
 
yaani ni bora simba angecheza na al ahal lakini siyo huyu kaizer. Hii timu ni balaa, kwa simba jmosi kufungwa tena 4g inawezekana kabisa. Manara ajitayarishe kuzimia mara tano jmosi
 
Habari.

Jeff Lea mchambuzi wa Efm kwenye kipindi cha Sports HQ leo, ameendelea kuzungumza vyema kuhusu Simba Sc juu ya mechi ya marudiano hapa kwa mkapa kwa kusema "Anaona kuna remix inaweza kuwepo akiwa na maana kipigo kile kile walichokipokea FNB stadium cha bao nne kinaweza kujirudia tena hapa hapa bongo"

Hapo awali aliwahi kusema kwa safu ya ulinzi wa Simba Sc ilivyokuwa mbovu basi Simba Sc hawatofika mbali kwenye haya mashindano.

Naungana na Jeff Lea kwa kauli yake ya Remix kujirudia tena kwa Mkapakapa stadium maana ni ngumu sana kubadili timu kwa kipindi kifupi naamna hiyo.

Wewe una maoni gani juu ya uchambuzi huu wa Jeff Lea juu ya kipigo kitakatifu tena kukishuhudia kwenye ardhi ya kwetu.

Nawasilisha Mzee Mkoloni

Cc: Kichwa Kichafu.
Kwa safu ipi ya ushambuliaji yanga waliyonayo? Ama unamaanisha yale magarasa lale mbele yaliyopaka rangi kichwani kama vichaa
 
Habari.

Jeff Lea mchambuzi wa Efm kwenye kipindi cha Sports HQ leo, ameendelea kuzungumza vyema kuhusu Simba Sc juu ya mechi ya marudiano hapa kwa mkapa kwa kusema "Anaona kuna remix inaweza kuwepo akiwa na maana kipigo kile kile walichokipokea FNB stadium cha bao nne kinaweza kujirudia tena hapa hapa bongo"

Hapo awali aliwahi kusema kwa safu ya ulinzi wa Simba Sc ilivyokuwa mbovu basi Simba Sc hawatofika mbali kwenye haya mashindano.

Naungana na Jeff Lea kwa kauli yake ya Remix kujirudia tena kwa Mkapakapa stadium maana ni ngumu sana kubadili timu kwa kipindi kifupi naamna hiyo.

Wewe una maoni gani juu ya uchambuzi huu wa Jeff Lea juu ya kipigo kitakatifu tena kukishuhudia kwenye ardhi ya kwetu.

Nawasilisha Mzee Mkoloni

Cc: Kichwa Kichafu.
Huu ni uchambuzi au ni ushabiki?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom