Recent content by yussuf hajj

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Unyama huu: Msichana auawa akitoka kuswali msikitini

    Huo ni ugaidi
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump Hataki Masikini Katika Baraza lake la Mawaziri

    Si jambo la kushangaza kwa rais wa republican kufanya hivyo . Siku zote republican wamekua upande wa matajiri. Republican walimpinga sana roosevalt miaka ya 1930s katika mpng wake wa new deal
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mnada mali za ubalozi wa Marekani 22/4/2017

    US inafunga balozi yake tz ? inadaiwa? au wameamua tu kuuza?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Shairi : Pendo ni kitu adhimu

    Paskali mayalla , hakika ni mzalendo Usiejua kulala, kuuhimiza upendo Usietaka chakula , kilicho vingi vishindo Udumishae furaha , na kufata nzuri nyendo.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Shairi : Pendo ni kitu adhimu

    Pendo ni kitu adhimu ,Mungu ametuumbia Tupendane binadamu ,Ushenzi kuukimbia Tusiwe wana haramu ,Wenzetu kuwaibia Pendo kitu cha thamani , tena kitu cha furaha. Raha ya pendo kupendwa , Na yule umpendae Usitamani kutendwa , utatamani ujiue Uhai kuuondowa , Akhera uadhibiwe Pendo kitu cha...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Maana ya maneno haya kwa kiswahili

    breaking news habari za hivi punde , kushtukiza, ghafla
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Maana ya maneno haya kwa kiswahili

    updates taarifa mpya au upya wa kitu au jambo
Back
Top Bottom