Maana ya maneno haya kwa kiswahili

Joseverest

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
52,495
70,610
Habari za muda wanajamvi...?

Nimekuwa nikifuatilia habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa, kuna maneno kama manne huwa nakosa tafsiri yake ya moja kwa moja kwa kiswahili sanifu, Wataalamu wa lugha embu nifafanulieni maana zake..

Maneno hayo ni;

1.BREAKING NEWS

2.UPDATES

3.TRENDING

4.DEVELOPING STORY
 
hehe nayoyaweza kwa uwezo wangu
trending;haya ni mambo/habari ambazo zimechukua muda kwa wkt uliopo.

developing story;hizi ni story zinazoendelea mf;tuchukulie hbr za escro toka miaka kadhaa nyuma ilikuwa inaongelewa lkn mpk sasa still inaongelewa na kuibuka mambo kadha wakadha.. kumbuka nimechukua kama mfano.
mkuu hayo mawaili nimeshindwa kuyaelezea!
 
sawa sawa mkuu
 
Back
Top Bottom