Nina imani na Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli. Nashanganzwa na watu walioaminiwa na yeye kila siku wanakutwa na madudu ya kuhujumu uchumi. Jamani mnataka nini kama hamuoni juhudi za rais. Tafadhali rais funga hao watu maana hawana shukrani.
Jamani tuache kupinda tuseme ukweli uchanguzi WA Zanzibar kurudiwa Ni kiini macho.Kama Ni democrasia hapo hakuna tujaribu mapya siyo hayo ya Wazanzibar wamearibu democracy yetu ya Tanganyika eti tunataka muungano siyo na hao siyo wakweli hao.
Ebu busara za wazee wa Tanzania kweli zinashindwa kutatua mambo mdogo kama Hilo?Kikwete ebu kuwa muwazi kwa hao wazee Mwinyi na Mkapa,wambie ulimwengu wa kulazimisha mambo haupo tena. Ni wakati wa uwazi sisi wore ndugu aliyeshida apewe tuache ubanguzi Mwalimu alituonya kama wazanzibari wanapenda...
the issue of African states withdrawing from ICC has been overdue. I therefore request African countries to act immediately and remain with ours the African court based in Arusha. Thanks Mr. Kenyatta for showing the way.
Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Dr.John Pombe Joseph Magufuli na kuomba uendeleze mazuri ya Mwalimu Nyerere. Wache waseme lakini nishujaa wa taifa ili. Wakina Tundu Lissu wabaki na matusi Yao. Asante Sana.
Jamani viongozi kuweni WA kweli na haki ya kila Mtanzania ionekane isiwe kwa walala hoi na vigogo wenzenu wanapeta. Sisi yetu macho hatuna la kufanya ila tutasema kwa kukumbushia haya musemayo Leo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.