Recent content by Yuda Eskareote

  1. Yuda Eskareote

    Mbona NMB wana makato makubwa sana au mimi ndo sijui hesabu?

    Siku nyingine toa Kwa ATM halafu ndio utume Kwa wakala wa Airtel money gharama inapungua ukilinganisha na kuransfer Kwa nmb mobile
  2. Yuda Eskareote

    Nataka gari ya mil5 IST,vitz iwe D fresh?? Sijui kuhusu magari ila Usijaribu kunirubuni

    Katoa dau la 5mil we ukaona 1.5mill na ukajibu Kwa ngebe Kumbe mwenye uelewa Mdogo ni wewe
  3. Yuda Eskareote

    Naibu Waziri, Viongozi wa Halmashauri waanguka Kura za Maoni Maswa

    Vipi mashimba ndani naye kasalimika kweli?
  4. Yuda Eskareote

    Ulijenga nyumba yako ya kwanza ukiwa na umri gani ?

    26 years nilijenga gheto Nililifunga nikaendelea kupanga niliogopa sana totozi zingekatalia kwenye mjengo wangu ila baada ya kuoa ndio nikahamia sasa nikiwa na amani ya moyo Ila kwa sasa najiapanga kujenga nyumba sasa
  5. Yuda Eskareote

    LGE2024 CCM yashinda 98.83% Wenyeviti Serikali za Mitaa

    mbona mnatuchanganya haya matokeo yapo tofauti tofauti na mnasema ya jumla?
  6. Yuda Eskareote

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mita namba zinazoanzia 24210 zimesha expire haziwezi Tena kununua umeme wala kupokea token hivyo wasiliana na TANESCO Mahalia waje wakubadilishie mita
  7. Yuda Eskareote

    Nimemwambia leo silali nyumbani, ameanza kuwapigia ndugu zangu na ndugu zake simu wamuombee msamaha

    Team Kataa ndoa imejichukulia point tatu magori matatu na clean sheets moja
  8. Yuda Eskareote

    Nini Maana Ya 123KwH/year Kwenye Kifaa Cha Umeme(jokofu)

    1 kwh. = 1000wh 123kwh = 123000wh Ikiwa unit 1 hutumia watt 1000 Inamaana watt 123000 zitatumia unit 123 kwa mwaka Mwaka 1 = unit 123 Unit 123 ÷ miez 12 = 10.25 Kwa mwezi fridge litatumia unit 10.25 Kama halitazimwa mwezi mzima na lol itatumia unit 123 kwa mwaka mzima Kama halitazimwa Matumizi...
  9. Yuda Eskareote

    TANESCO naomba mje mnipe mita yangu huyu dogo hapa simwelewi

    Mjazie unit Kisha ondika na remote Bei ya meter ya tanesco ni 320,000 + gharama ya ufundi na baadhi ya vifaa kama vile main switch na circuit breaker nikama 400,000 hivi Utachagua mwenyewe
  10. Yuda Eskareote

    UMEME 'KUSHTUKA', TANESCO WATUPE UFAFANUZI...

    Sizani Kama watakuja kukujibia hapa Ila kwa uelewa wangu mdogo TANESCO wamefunga vifaa Kinga kwenye line zao AUTO RECLOSER aambapo kazi yake ni kujizima na kujiwasha automatic Kwa mfano hujizima tu pale panapotokea short ya mpito kwenye line Kama ndege kugusa nyaya kusababisha kupigwa short au...
  11. Yuda Eskareote

    DOKEZO TANESCO Tarime siyo waadilifu, bila kutoa rushwa huunganishiwi umeme kwa wakati

    Kuna mawaziri wanatakiwa kuwa Kama Dkt. Gwajima D kwa kutembelea mitandao ya kijamii kwa ajili ya kusolve matatizo Kama haya
  12. Yuda Eskareote

    Baadhi ya wananchi mkoani kilimanjaro hususani katika Wilaya ya Hai, wamezikataa machine za mchina za kamari

    Tuliambiwa tuwaache kwa sababu tunajipeleka wenyewe na wao wapo kisheria Mpaka Leo wanaijia tu pesa kwenye kluger harrier zao
  13. Yuda Eskareote

    Maoni yangu: Hao maafande wa tukio la binti wa Yombo Dovya hawatafungwa hata iweje

    Wana uhakika wa kutoka Kuna video kapost maulid kitenge mtuhumiwa anamwambia mwandishi wa habari siku akumaliza kesi atamtafuta
Back
Top Bottom