Recent content by Youth Worker Tanzania

  1. Youth Worker Tanzania

    Kutangulia sio Kufika; Goli la mapema

    Daah Leo nmitoka NUNGE TAIKON Sijaambulia chochote mwalimu
  2. Youth Worker Tanzania

    Nimekuwa na tatizo la kupenda kukaa peke yangu, kwenye watu wengi siwezi kujichanganya

    Mkuu hongera kwa kutushirikisha juu ya madam hii. Jambo lolote linapaswa kuwa kati na kati,Ikiwa.litazidi kiasi cha kuathiri mwenendo wa kawaida wa maisha ya mtu ambayo amayazoea na nzuri zaidi akajua si kawaida yake,Hapo msaada wa kitaalam unahitajika. Karibu sana PM tujadiliane.
  3. Youth Worker Tanzania

    Kwa hili, mama umenikosea huruma Mimi mwanao.

    Mkuu Pole sana kwa mkasa uliokupata. Kwanza kubali umeshuka kimapato na amini kuwa,Wewe ni sababu kubwa ya hali uliyonayo. Kabla ya kuhamishia mpira kwa mtu au hali yeyote,Amini Kuna sehemu ulikosea au umekosea hata unapitia kipindi ulichonacho hivi Sasa. Wanadam tunatofautiana , Hivyo siku...
  4. Youth Worker Tanzania

    Ushauri wenu wakuu: Mchepuko anataka kuishi na mimi

    Machungu atakayopata mkeo siku akigundua,ni mara mbili ya wewe utakavyojua. Iukize nafsi yako kabla ya ushauri kwa wengine,Unayofanya ni sahihi kwa mkeo. Penzi kikohozi,penzi halijifichi. Muheshimu sana aliyechagua kuwa nawe kwa kukuheshimisha kwako kama mke. Kwa Sasa huoni umuhimu wa mke...
  5. Youth Worker Tanzania

    Nimeshindwa kulifungua begi la marehemu Mama yangu

    Mkuu Uchungu na hali unayopitia,unapaswa kuipitia. Ni haki kuhuzunika kwa kumpoteza yule ambae unaamini na unaujua umuhimu na thamani yake katika maisha yako. Usiache kuhuzunika,Ila sasa iambie nafsi na moyo ikibidi kuwa,Ninyi hamna lolote ambalo mngefanya hata abakie. Usiamini una lawama...
  6. Youth Worker Tanzania

    Kati ya kufanya biashara kwanza Kabla ya kuoa au kuoa kwanza Kabla ya kufanya biashara?

    Fafanua, Bora kwenye eneo lipi mfano kuanza kabla ya lingine, faida au kitu gani mkuu
  7. Youth Worker Tanzania

    Umekata Tamaa! Sema maneno haya

    Changamoto unazopitia zinakuumiza na kukuhangaisha. Hii ni sehemu ya maisha ambayo kamwe haiepukiki Wala haizuiliki. Kuna wakati unajiuliza,Mungu uko wapi na hata mimi naandamwa na kusumbuliwa na dhiki. Mungu kama unanisikia ,nakuomba mitihani hii mbali kwangu izidi pitia. Mbaya zaidi ni pale...
  8. Youth Worker Tanzania

    Team kali inahitajika kwa Kampuni ya Media

    Hongera mkuu kwa kufanikisha Japo bado haiondoi ukweli kuwa,Hata Watanzania wanaofanya vizuri wapo.Mfano ni Ayo Tv,Hana msimamizi toka nje ,Lakini Online TV yake inafanya vizuri. So inahtajika trust na team uliyonayo,Lakini pia delegation ni muhimu kufanyika.Usitake kila kitu na kila sehemu...
  9. Youth Worker Tanzania

    Team kali inahitajika kwa Kampuni ya Media

    Thanks for sharing with us, "FAIL BIG, But always make sure that ,You FAIL Forward."Denzel Washington Kwanza kabisa,Change your mindset,Kwa maana hesabu kuanguka mara ya kwanza ni sehemu ya kujifunza,Na bado kuna chance ya kuendelea kufanikiwa licha ya vikwazo na magumu uliyoyapata. Kwenye...
  10. Youth Worker Tanzania

    SoC01 Nenda Sia, kila nikikumbuka nasimulia na wengine nawasaidia (Stori ya kweli)

    Sia ni binti ambaye wakati Fulani tuliwahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi,Japokuwa ndio kwanza tulikuwa tumetoka masomoni kwa kuhitimu kidato cha sita.Si jina lake halisi ,Lakini naamini litafanikisha kufikisha ujumbe niliokusudia. Hatukudumu sana hasa baada ya matokeo kutoka na kila mmoja...
  11. Youth Worker Tanzania

    Namna ya kukabiliana na hofu inayokusumbua

    Kuogopa juu ya jambo fulani ni miongoni mwa changamoto anazopitia mwanadam yeyote. Si mbaya kuogopa, lakini tatizo litakuja kama kuogopa huko kutakufanya ushindwe kutimiza au kufanya majukumu yako ya msingi. Kama kusoma, Kulima, kupika, kulala nk. Sababu zinaweza kuwa nyingi za kwa nini...
  12. Youth Worker Tanzania

    Najutia tukio hili: Sikuweza kumsaidia rafiki yangu akajinyonga

    Mkuu pole kwa masahibu lakini hongera kwa kuwa tayari kutushirikisha kilicho moyoni mwako. Ni sawa kabisa wala sio tatizo kuhisi unavyohisi kwa sasa,Wanasema ITS OKAY NOT TO BE OKAY. Kwa kuwa umetambua ni jambo linalokusumbua na unaendea kufanya juhudi kupata msaada ,Naomba nishauri jambo...
Back
Top Bottom