Recent content by Younger

  1. Younger

    JamiiForums Tanzania Wakenya wametuacha mbali kwa Exposure, Network na confidence pia. Hatuwawezi!

    Literacy rate according to UNESCO 2015 report
  2. Younger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyowindwa na mke wa mtu bila kujua

    Kula tunda
  3. Younger

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana naye gharama za chumba Dar es Salaam

    Wewe ndio mjinga unashindwa kuelewa maelezo mafupi ya mdau unataka uandikiwe essay.mfuate inbox akupe maelekezo #shida ya mtanzania mweusi
  4. Younger

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa hii miti inaua?

    Hao CIA hawaendeshi vitu ideologically wako materialism zaidi na huna evidence yeyote kama wanautumia kama unavyoamin ww mmekariri kumezeshwa mambo
  5. Younger

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa hii miti inaua?

    Unaonekana kila kinachotokea unakipokea kama kilivyo lazima uweze kucriticize usiwe box
  6. Younger

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa hii miti inaua?

    A always mnbnbnnsn I always naamini katika sayansi tu hivyo vingine kama maumbo, moto, maji, upepo ukivitafsiri vibaya lazima vikuletee madhara
  7. Younger

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa hii miti inaua?

    MTU akiyeelimika na mwenye iman thabiti hawezi kuamini vitu vya kijinga kama hivi. Mleta uswahili tu hapa
  8. Younger

    JamiiForums Tanzania Kimuonekano umefanana na mtu gani mashuhuri?

    Nikimuona huyu mwanamziki najiona Mimi kabisa anaitwa Christopher Maurice Brown.
  9. Younger

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania tutajiajiri vipi au kutengeneza uchumi binafsi ili kuondokana na kuwa tegemezi?

    Uzi mzuri na una akili za kizungu ( civilians) na sifa za MTU aliyefanikiwa pamoja na kuinua watu wengne.
  10. Younger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

    Siwezi kukupa pole ila utapunguza maumivu endapo utarudisha hiyo simu mikononi mwako tena. By the way soma kitabu cha Dominic Mann kitakusaidia.
  11. Younger

    JamiiForums Tanzania Niko nasikiliza nyimbo zao bora zilizowatambulisha nimegundua kuna tofauti kubwa mno; Sijui kiliwakumba nini vichwani hawa waimbaji siyo bure

    Huyu Rose mhando, bahati bukuku ukisikiliza nyimbo zao za zaman unaweza kuokoka
  12. Younger

    JamiiForums Tanzania Kwa tathmini ya kina binadamu tupo duniani kwa lengo kuu la kuteseka. Furaha kwa mwanadamu ni ziada.

    IPO wazi mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu, but in reality lifestyle defines the quantity of happiness
  13. Younger

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hutakuja kununua katika Maisha yako?

    Siwezi kununua gari ya kutembelea maisha yangu
  14. Younger

    JamiiForums Tanzania FURSA: Kwa Wajasiliamali Mikoani

    Mkuu ujasiriamali unahitaji risk takers ni vizur ukae kimya kwa faida ya wengine
Back
Top Bottom