Hata sayansi yenyewe still bado mtupu.Elimu ni pana usijifungie kwenye box ukidhani umeimaliza elimuA always mnbnbnnsn
I always naamini katika sayansi tu hivyo vingine kama maumbo, moto, maji, upepo ukivitafsiri vibaya lazima vikuletee madhara
Sasa hivi mti wowote wenye ngazi ngazi wanasema ni mbaya.Ungemuuliza jina la hiyo miti maana miti yenye ngazi ipo aina nyingi sana
Waongo, nina ushahidi mwingi tu wenye miti kwenye nyumba zao bado wapo hai wengine wana 70+ years of ageSasa hivi mti wowote wenye ngazi ngazi wanasema ni mbaya.
Mimi nilipanda miti ya krismasi ile ina ngazingazi na imechongoka juu. Ikawa kila mtu anaekuja kwangu ananiambia aisee kua makini na hii miti. Nikaona kero ikabidi niikate tu.
Miti nchi nyingine ipo haina madhara na hakuna watu wanaokufa, Tanzania, inasemwa kuwa inaua na tuache tatizo la ubishi!Kuna mwamba humu jf husema "tatizo binadamu ni wabishi sana".
Kwahiyo alimtupilia mbali huyo mtoto Albino kama alivyowaeleza madada wenzake?Kuna wadada walimtembelea rafiki yao aliyejifungua albino. Wakati wanaondoka njiani dada mmoja akawaambia wenzake ingekuwa yeye ndiye kajifungua mtoto Kama yule angemtupilia mbali.
Mungu SI Athumani. Alipokuwa mjamzito, mtoto aliyejifungua naye alikuwa albino.
Ongeza Pharaoh toka MisriKwani mkuu, watu kama Hitler, Osama etc waliumbwa na nani? Mbona walileta madhara kwenye dunia...
Unaonekana kila kinachotokea unakipokea kama kilivyo lazima uweze kucriticize usiwe boxHata sayansi yenyewe still bado mtupu.Elimu ni pana usijifungie kwenye box ukidhani umeimaliza elimu
Kama hadi CIA wanautumia wewe nani upingeUnaonekana kila kinachotokea unakipokea kama kilivyo lazima uweze kucriticize usiwe box
Hao CIA hawaendeshi vitu ideologically wako materialism zaidi na huna evidence yeyote kama wanautumia kama unavyoamin ww mmekariri kumezeshwa mamboKama hadi CIA wanautumia wewe nani upinge
Kwenye training zao wanapractice kupata information,wanatumia white magic,mfano kuingia sehemu bila kuonekana,kuingia mwilini Mwa mtu na kutap information jiulize kwann huwa wanatoa taadhari mapema,kuinvestigate matukio, nk. Elimu ni pana tusivyovijua ni vingi still sayansi imeshindwa kutupa majibu ikiwa na maana sayansi sio jibu la KILA kitu.Ni jibu la KILA kitu kwa wenye limited mind.Hao CIA hawaendeshi vitu ideologically wako materialism zaidi na huna evidence yeyote kama wanautumia kama unavyoamin ww mmekariri kumezeshwa mambo
Huo mti Mimi niliupanda eneo LA mbele ya nyumba yangu na ulikua vzr niliposikia habari zake nikaukata miaka ya nyuma.Sina uhakika hiki kinachosemwa ila katika maisha yangu sipendi kuishi kwa mashaka napendq maisha ya amani nikaona niukate ili hata siku nikipata tatizo nisije pata visingizio vya ajabu ajabu.Hapa Afrika hususani Tanzania kuna imani za aina mbalimbali zihusuzo mambo tofautitofauti katika jamii yetu.Zimekuwepo tangu enzi na enzi na kadri miaka inavyokwenda nazi zinaendekea kuwepo ingawa sio kwa ukubwa huo.
Zipo imani kwenye vyakula(food taboos) mfano mama mja mzito na mayai.Wengine wanasema ukilala usiku na mfupa wa kitimoto wanga hawakusumbui!Sijui ikitokea mama mja mzito akamchukia mtu basi kuna uwezekano mkubwa akazaa mtoto anayefanana na huyo mtu!Ukimuona bundi ni dalili ya mkosi....na kadhalika na kadhalika.
Sasa kuna hii nyingine ambayo Kwangu ni mpya na imenishangaza sana.Sijui wenzangu kama mmeisikia au kuwatokea labda...
Kuna mzee wa makamo tulisafiri nae kwenye basi.Kwenye ile kuangalia mazingira kando ya barabara akaona nyumba moja ina miti ile mirefu inayokuwa na matawi kama ngazi ngazi(siijui jina kwakweli).Ni mizuri kimuonekano na inapendezesha Sana nyumba.Akaanza kudai kuwa mizizi ya hiyo miti ni mirefu na huwa inaingia ndani.Ikishakuwa hivyo nyumba yenye hiyo miti ni lazima afe mwanaume.Na pia migogoro ndani ya nyumba ya hivyo haiishi hasa ya mme na mke!Anashuhudia kuwa kuna rafiki zake wawili wameshafariki kabla hajajulishwa hiki suala.Pia kuna mama baada ya kufiwa na me wake akawa haelewani na watoto wake,hawapigi hata simu.Baada ya kutembea kwa wataalam(hapa naeleweka vizuri tuu!) akaambjwa aukate huo mti na kisha amwagie oili Ili kuua mizizi Iliyoingia ndani Baada ya kufanya hivyo watoto wake wakabadilika wakawa na mapenzi nae.Mzee anaongea kwa kujiamini kuwa anamaanisha anachokisema na akawashauri watu mule ndani kama wana hiyo miti wakaikate kabla haijaanza kuwaathiri.....
Je kuna mtu pia kawahi sikia kuhusu hili..ukweli ukoje maana hii dunia ina siri nyingi sana huwezi amini
Hajui chochoteee!!Unajua chochote kuhusu elimu ya mimea?
Unajua chochote kuhusu nguvu za asili?
Unajua chochote kuhusu Roho, nafsi na mwili?
Unajua chochote kuhusu elimu ya maumbo ya vitu, wanyama, ndege, upepo, moto, maji, nk
Hivi ni kwa uchache tu






Hitler alikua ni Mzalendo aliyeipenda nchi yake. Aliyewapenda Wajerumani . Aliyeipenda ujerumani . Alipenda uchumi Wa ujerumani ushikiliwe na Wajerumani wenyewe bila kubaguliwa. Lakini pia Hitler amekuja kuisaidia Afrika dhidi ya madhalimu Wakoloni waovu waliobadili mtizamo Wao baada ya vita ya pili ya Dunia. Hitler alibadili uelekeo Wa Dunia nzima na Afrika tukapata unafuu Wa kudai uhuru. Kwa Hiyo tusimbeze sana.Wale walikuwa ni mashetani waliovaa mwili wa mtu shetani katika umbo la mwanadamu thus Hittler alikuwa akibadilika sura anatoka kwenye ubinanadamu pindi akiivaa ile roho impayo nguvu hiki kitendo cha kubadilika sura wanacho wachawi wengi wa degree ya 33 freemason wakiwemo
Huo uzalendo wa Hittler si angeufanyia ujerumani pekee na sio kwenda kuchokoza mataifa mengine.Hitler alikua ni Mzalendo aliyeipenda nchi yake. Aliyewapenda Wajerumani . Aliyeipenda ujerumani . Alipenda uchumi Wa ujerumani ushikiliwe na Wajerumani wenyewe bila kubaguliwa. Lakini pia Hitler amekuja kuisaidia Afrika dhidi ya madhalimu Wakoloni waovu waliobadili mtizamo Wao baada ya vita ya pili ya Dunia. Hitler alibadili uelekeo Wa Dunia nzima na Afrika tukapata unafuu Wa kudai uhuru. Kwa Hiyo tusimbeze sana.
Hitler
Ghadhaff
Iddi Amini
Sadam n.k
Walikua ni wazalendo Kwenye nchi Zao waliovishwa vazi baya la udikiteta na wanyonyaji.
Ili nchi yote yoyote iendelee ni lazima atokee MTU mmoja Wa kujitoa muhanga dhidi ya wezi Wa Mali za umma na kulinda rasilimali za umma Kwa faida ya wengi.