Recent content by Young zee

  1. Y

    Utafiti: 71% ya Watanzania hutumia muda wao katika mambo yasiyo na maana

    Mkuu The Boss, kwa kweli hata Mimi huu utafiti umenifikirisha sana kwa kuwa haupo realistic. Ni sawa watanzania wengi nowadays hawapendi kujishuhulisha. Kazi kidogo pesa mingi plus starehe life goes on..... Kinachoniwazisha Ni zaidi ni hiki watanzania wote Ni 46plus millions Na 70% yetu...
  2. Y

    Miaka 179 Baadaye Siku Kama ya Leo: Fikra Zake Zinaishi

    Mkuu@ Mwanakijiji, kwanza nikupongeze kwa bandiko kama hili. Maudhui ya bandiko lako yanafikirisha sana. Hata hivyo, inatufundisha kila mtu kufanya kwa nafasi yake na wakat wake yale yanayompasa kutenda bila kuhukumu watu wengine wanaojitahidi kuonyesha njia kwa kutumia mapungufu yao. Kama...
  3. Y

    Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side)

    Mkuu lara 1, we kiboko. Hii stori nimeifuma jana but nimeanza uzi wa kwanza mpaka wa mwisho as a ghost reader. For the last episode, i coun't stop my tears. Wil be following you. Many thanks to lara 1 sponsers who motivated her....
  4. Y

    Mwamvita Makamba: January hahusiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni

    Mkuu JM hakuwa Na shida Na mtu, Na wala hahitaji kujua huyu Ni shetani wa rangi gani?? Kikubwa kwake ilikuwa Ni noti Tu.
  5. Y

    Kampuni ya Rifaro Africa yafungiwa na TCRA, yatozwa faini!

    Mkuu. MTK, Kama kweli kampuni ya Rifaro ni ya kitapeli, Na Kama kweli imechukua zaidi ya nusu mwaka kwa TCRA kugundua hilo, pamoja Na Rifaro Africa kujitangaza kila siku kwenye television (Chanel 10) Na mitandao ya kijamii....... Basi jipu kubwa ni TCRA. TCRA walikuwa wapi muda wote mpaka...
  6. Y

    TCRA yazitoza faini kampuni za mawasiliano na usafirishaji

    Safi Sana TCRA, makampuni ya simu yamekuwa yakiwachezea wateja. Na hii imekuwa karibu kwa mitandao yote. Mtu unafika mahali unakwama, unaamua kumpigia mtu simu, unaambiwa simu unayopiga haipatikani kwa sasa angali uko hewani. Mkuu singidadodoma, rekebisha kidogo pale ulipoandika lifalo isomeke...
  7. Y

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    WW salary slip ya rais itaipata wapi??? Kwani hata ya kwako nani anaweza kuaccess??
  8. Y

    Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

    Pole sana mama yetu. Mungu akujalie upone haraka.
  9. Y

    Mbowe: UKAWA na wapenda Mabadiliko, Hatutahudhuria Sherehe za Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli

    Mkuu sem2708, hapa ndipo hoja ilipolalia. Hii inaonuesha kuwa intelijensia ya UKAWA ilikuwa likizo kipindi hicho. Lakini kingine kwa nini walitumia kituo kimoja Tu Ili hali wakijua kuwa CCM watatumia mbinu zozote kuhakikisha wanashinda uchaguzi. UKAWA wawaombe wananchi msamaha kwa kushindwa...
  10. Y

    Nyumba ya Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia yateketea kwa moto

    Ndugu wana Jf Isaac Mwampashi anajua chanzo cha Moto uliounguza nyumba ya mh.Mbatia. Huyu anatakiwa aisaidie polisi Kama hahusiki basi atakuwa Ni mchawi mwenye chuki iliopitiliza Zaidi kwa mh. Mbatia. Mtu wa Kawaida anayeifahamu maisha hawezi Toa komenti ya chuki kiasi hiki. Wewe unajua upo...
  11. Y

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Angalia hapo huu, Kura gani hizo ambazo mgawanyo wake haufiki Mia moja??? Angalia 2013 na 2014 Ni 86%;81% respectively. Na 2015 mgawanyo umezidi Mia moja(102%).
  12. Y

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Mhh!! Hapa hakuna utafiti wowote. Jamaa wamepika vitakwimu vyao kwa lengo la kuibeba CCM tu. Hata hivo hesabu za kujumlisha zimewashinda. Jumla ya asilimia kwa kila nwaka Ni Kama ifuatavyo; 2012(100%), 2013(86%), 2014(81%) na 2015(102%). Hivyo basi matutusa wamefanya walichoagizwa na kitengo...
  13. Y

    Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

    Do you have evidence for all this allegations??? Or you are just provoking?? Cyber crime law is near the corner.
  14. Y

    Patrobas Katambi wa CHADEMA, atekwa akirudisha fomu ya ubunge Shinyanga Mjini

    Mkuu, tunashukuru lakini hii taarifa haijakamilika. Je huyo Katambi Ni mgombea wa jimbo lipi katika mkoa upi??? Je hizo fomu zipo salama??
  15. Y

    GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    You silly imbecile, how dare you call Tanzanians donkeys?? By the way what was your government doing all that long???
Back
Top Bottom