Nime jaribu bidi seme nimeshindwa .
Nili ishi zaidi ya miaka 20 Nairobi mwisho nilirudi kwetu Tz. Kwetu kuzuri jamani mtu asiwadanganye.
Huyo mzungu atembelee Mathare na Kibera halafu atualifu atakacho ona.
Msikie tu nendeni mkaone
Hatunsaidi Melo kwa maandishi haya ya kipuuzi. Wana JF wote tuna taka haki item dele lakini si kwa kutumia matusi na dharau mnazo onyesha.
Kumbuka chombo kinacho hifadhi tindi kali lazima kiwe kigumu zaidi ya tindi kali!!!!!
Matusi ni kama tindi kali.
Msalieni Melo atoke
Mmmm!!
Kweli vijana wetu wana shida . Una anza kwa kuongelea CCM. Kabla huja enda hatua 2 tayari ume potea njia.
Una anza kuongelea mtu mbona una huko hivyo?
Huoni yote mazuri yaliyo let wa na Rais na Chama chake?
Au uli taka uletewe ugali mezani na kulishwa? Fanya kazi wacha CHIKO CHIKO .
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.