NETANYAHU's speech on Africans and Arabs

NETANYAHU's speech on Africans and Arabs

Hii hotuba siyo ya huyo uliyemtaja. Kwa sisi tuliyoanza kutumia smartphone kabla ya awamu ya tano tushaijadili sana na kubishana sana juu ya hotuba hii. Ikathibitika pasipo shaka kuwa siyo yake. Ni maneno ya kaburu wa Afrika Kusini.
Waarabu na waislam wanao umizwa na kichapo kinachotolewa na Israel kwa Wapalestina inapo wachokoza ndiyo walioamua kumuhusisha Netanyahu.
Sijaona alipozungumzia uislam na heading imetaja waarabu ila sijaona aliposema mabaya yao but ni mabaya ya waafrica in general ndio kazungumzia including South Africa
 
Mods, huu uzi mlipaswa kuufuta. Aliyeupandisha hapa na yeye aliyetunga uongo huu walipaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi muda huu.

PM Netanyahu hajawahi na hatakaa atoe hotuba au maoni ya hovyo kama hayo. Hizo ni chuki na ghiliba tu zenye mlengo mwovu wa chuki kwa mlengwa/walengwa.

Nalaani kwa nguvu zote uongo na chuki hii!
Tunajua ni hotuba ya PW ila hata hao unaowatetea nao ni big problem kuliko hata South ya zamani.Fuatilia wanavyowatimua waafrica huko Israel halafu ulete mrejesho
 
Haijalishi imetolewa na nani! tunachojadiri ni maneno yaliyomo kwenye hii hotubs! je yaliyosemwa sio kweli? naona mnamshambulia tu mleta mada! tujikite kwenye hoja.
Hawawezi kujadili hoja sababu taifa la Mungu limeguswa siunajua tena bongo kuna wayahudi wengi
 
Huu ni uzushi jameni tumieni akili zenu msisome kila kitu na kuanza kukijadili bila kuwa na uhakika..mjiulize mtu mkubwa kama Netenyahu anatukana waafrika kisa nn...na haya aliyasema wapi? Fanyeni utafiti sio kila kitu kikija watu wanaanza kujadili flatly bila kujua...
 
Kuufuta ujinga wa Mwafrika ni kazi kweli kweli.

I mean, katika karne ya 21 ambapo information zipo one click away lakini kuna majuha yanayoamini uzushi kama huu.

Shameful.
Hilo tunajua ila tujadili contents and not a person
Matatizo yakutofikiri na kutokufahamu Kingereza ila kujifanya unakifahamu ndio yanayokusumbua,kilichofanyika hapo ni kuchomeka baadhi ya maneno kutoka kwenye speech ya botha na msingi wa huyo aliyefanya eaditing ya speech ya botha ni kutengeneza chuki kwa Israel ichukiwe na watu weusi,mwarabu kuhusishwa hapo lengo ni kuwafunga kamba wenye uelewa mfinyu kama wakwako.
Israel ina bifu na M Parestina mtu mweusi kaingije hapo?
Inahitaji utulie ndio ung'amue dhana ya muandishi ila ukiwa na akili ndogo kama yako lazima upotezwe.
SOMA HAPA VIZURI
"The fact that, Blacks look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles simply because they look alike"/ "Ukweli wa kwamba wausi na Waarabu wanaonekana kama binadamu hauwafanyi wao kuwa binadamu welevu. Nungunungu sio panya na mjusi sio mamba japokuwa wanafanana"
 
Ya Netanyahu hata mi sidhani kama atawezatoa hotuba kama hiyo itakua imewekwa chumvi kidogo
 
Kwanza siamini kwamba hii ni ya Netanyahu, pili haina mantiki ukiamini hii kuna matatizo. Siishabikii hata mara moja.
 
HOTUBA YA WAZIRI MKUU WA ISRAEL NETANYAU KUHUSU AFRIKA.

Hatujiwajibishi hata kidogo kujaribu kuthibitisha au kudokeza kwa kila mtu na kwa Waafrika kuwa Sisi (Weupe) tu watu tuliobora zaidi,

Tumeshalionesha hili kwa Waafrika na Waarabu kwa njia 1001.

Nchi ya Israeli tunayoijua Leo haijafanywa kwa kufikiri hewani tu, tumeifanya kwa Gharama ya akili, jasho na damu.

Hatujifanyishi kama weupe wengine kuwa tunawependa weusi.

Ukweli ni kwamba weusi kuonekana kama binadamu hakuwafanyi basi wao kuwa binadamu welevu.

Nungunungu sio panya na mjusi sio mamba japokuwa wanafanana. Kama Mungu angetaka sisi (Weupe) kuwa Sawa na Weusi, angetuumba Sawa sisi sote kwa rangi moja na akili sawa, lakini akatuumba sisi tofauti weupe, Weusi, njano, Watawala na Watawaliwa.

Kielimu tuko juu na bora zaidi kwa Weusi na hii imekuwa ikithibitishwa mbele ya tafakuri za Busara zenye Mashaka kwa miaka.

Ninaamini kuwa Muyahudi ni mwaminifu, ni Mcha Mungu ambaye amejionesha kwa vitendo na njia sahihi ya yeye kuwepo.

Hadi Sasa kila mmoja wetu ameliona hili kwa matendo kwamba Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.
Wape bunduki, watauana kila mmoja wao kwa wao. Hawana jema lolote zaidi ya kupiga kelele, kulaumu watu weupe, kucheza, kuoa wake wengi, kunywa pombe kupindukia, uchawi, kijiingiza katika ngono, kujifanyisha kanisani, unafiki, kupigana ovyo na kulaumu mambo yasiyo ya msingi.


Sote tukubaliane kuwa watu Weusi ni ishara ya umasikini, uduni wa akili au ubongo, uvivu na wenye mihemuko ya Uzembe; Watapigana na kujiundia chuki na uadui wao wenyewe.

Hii huthibitisha kwa mtu yeyote akiwemo mpumbavu kuwa Waafrika hawajui wanachokitaka. Je, kuna anayekataa kuhusu haya?

Kwa hiyo, suala la kuwa mtu mweupe aliumbwa kumtawala mtu mweusi, ni Kweli, Waafrika watabakia kuwa na ndoto za mchana na hapa ni kiumbe (Mtu mweusi) kwamba hukosa mtazamo wa kuona mbali bali huona lililokaribu na bado hushindwa kujua cha kufanya katika hayo yaliyo karibu yake.

Mtu mweusi ni mjinga kwa kiwango kwamba hawezi kujipangia mambo kwa ajili ya maisha yake ya baadaye hata mwezi au mwaka mmoja mbele. Sasa wataendeleaje na kuishi sana.

Sasa mpumbavu gani hupinga kuwa mtu mweusi hakuzaliwa ombaomba, hukua ombaomba, huonekana ombaomba, huugua kama ombaomba na hufa kama ombaomba? Hili limethibitishwa mbele ya kujiuliza kwa Busara. Ninashangaa kwamba mpaka Sasa Waafrika wengi huenda shule kwa kusukumwa (Kulazimishwa) na walioko shuleni ni maadui wa maendeleo yao wenyewe na kutukuza vitu na utamaduni wa sisi weupe. Huu ni ujauzito wa Upumbavu Afrika unaohitaji ujio wa pili wa Yesu Kristo.

Mwili wa Waafrika ni wenye rutuba sana kwa magonjwa yote Ulimwenguni kwasababu hawaogopi hata VVU/UKIMWI wala Maralia. Hili huniacha Mimi na maswali mengi kuwa, macho yetu yaliumbwa Sawa na ya Waafrika kweli,.?

Ninasikia Afrika bado kuna tamaduni zinazowapinga wao wasitumie vyoo, inakera mno.

Samahani sana kwa kusema hivyo, ninachelea kusema kwamba, kwanini Mungu aliwaumba Waafrika? Walilie Uhuru lakini wameshindwa kujitawala wao wenyewe.

Kwa hakika kuwa Mwafrika ni ugonjwa usiotibika hata kwa sala (Maombi) haitoshi pia.

-->>Wana madini lakini hawayafanyii lolote. Hivyo, acha weupe twende Afrika tukachukue tunachoweza kuchukua, kisha tuviache visivyo vya thamani kwao. Umasikini ni ugonjwa kwa Weupe lakini kwa Weusi ni suala la kawaida kabisa.

Ee.. Yesu njoo haraka uwaokoe Waafrika.

DUNIA NI YA WENYE HEKIMA TU.

Imefasiriwa na crocodiletooth.
 
HOTUBA YA WAZIRI MKUU WA ISRAEL NETANYAU KUHUSU AFRIKA.

Hatujiwajibishi hata kidogo kujaribu kuthibitisha au kudokeza kwa kila mtu na kwa Waafrika kuwa Sisi (Weupe) tu watu tuliobora zaidi,

Tumeshalionesha hili kwa Waafrika na Waarabu kwa njia 1001.

Nchi ya Israeli tunayoijua Leo haijafanywa kwa kufikiri hewani tu, tumeifanya kwa Gharama ya akili, jasho na damu.

Hatujifanyishi kama weupe wengine kuwa tunawependa weusi.

Ukweli ni kwamba weusi kuonekana kama binadamu hakuwafanyi basi wao kuwa binadamu welevu.

Nungunungu sio panya na mjusi sio mamba japokuwa wanafanana. Kama Mungu angetaka sisi (Weupe) kuwa Sawa na Weusi, angetuumba Sawa sisi sote kwa rangi moja na akili sawa, lakini akatuumba sisi tofauti weupe, Weusi, njano, Watawala na Watawaliwa.

Kielimu tuko juu na bora zaidi kwa Weusi na hii imekuwa ikithibitishwa mbele ya tafakuri za Busara zenye Mashaka kwa miaka.

Ninaamini kuwa Muyahudi ni mwaminifu, ni Mcha Mungu ambaye amejionesha kwa vitendo na njia sahihi ya yeye kuwepo.

Hadi Sasa kila mmoja wetu ameliona hili kwa matendo kwamba Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.
Wape bunduki, watauana kila mmoja wao kwa wao. Hawana jema lolote zaidi ya kupiga kelele, kulaumu watu weupe, kucheza, kuoa wake wengi, kunywa pombe kupindukia, uchawi, kijiingiza katika ngono, kujifanyisha kanisani, unafiki, kupigana ovyo na kulaumu mambo yasiyo ya msingi.


Sote tukubaliane kuwa watu Weusi ni ishara ya umasikini, uduni wa akili au ubongo, uvivu na wenye mihemuko ya Uzembe; Watapigana na kujiundia chuki na uadui wao wenyewe.

Hii huthibitisha kwa mtu yeyote akiwemo ******** kuwa Waafrika hawajui wanachokitaka. Je, kuna anayekataa kuhusu haya?

Kwa hiyo, suala la kuwa mtu mweupe aliumbwa kumtawala mtu mweusi, ni Kweli, Waafrika watabakia kuwa na ndoto za mchana na hapa ni kiumbe (Mtu mweusi) kwamba hukosa mtazamo wa kuona mbali bali huona lililokaribu na bado hushindwa kujua cha kufanya katika hayo yaliyo karibu yake.

Mtu mweusi ni mjinga kwa kiwango kwamba hawezi kujipangia mambo kwa ajili ya maisha yake ya baadaye hata mwezi au mwaka mmoja mbele. Sasa wataendeleaje na kuishi sana.

Sasa ******** gani hupinga kuwa mtu mweusi hakuzaliwa ombaomba, hukua ombaomba, huonekana ombaomba, huugua kama ombaomba na hufa kama ombaomba? Hili limethibitishwa mbele ya kujiuliza kwa Busara. Ninashangaa kwamba mpaka Sasa Waafrika wengi huenda shule kwa kusukumwa (Kulazimishwa) na walioko shuleni ni maadui wa maendeleo yao wenyewe na kutukuza vitu na utamaduni wa sisi weupe. Huu ni ujauzito wa Upumbavu Afrika unaohitaji ujio wa pili wa Yesu Kristo.

Mwili wa Waafrika ni wenye rutuba sana kwa magonjwa yote Ulimwenguni kwasababu hawaogopi hata VVU/UKIMWI wala Maralia. Hili huniacha Mimi na maswali mengi kuwa, macho yetu yaliumbwa Sawa na ya Waafrika kweli,.?

Ninasikia Afrika bado kuna tamaduni zinazowapinga wao wasitumie vyoo, inakera mno.

Samahani sana kwa kusema hivyo, ninachelea kusema kwamba, kwanini Mungu aliwaumba Waafrika? Walilie Uhuru lakini wameshindwa kujitawala wao wenyewe.

Kwa hakika kuwa Mwafrika ni ugonjwa usiotibika hata kwa sala (Maombi) haitoshi pia.

-->>Wana madini lakini hawayafanyii lolote. Hivyo, acha weupe twende Afrika tukachukue tunachoweza kuchukua, kisha tuviache visivyo vya thamani kwao. Umasikini ni ugonjwa kwa Weupe lakini kwa Weusi ni suala la kawaida kabisa.

Ee.. Yesu njoo haraka uwaokoe Waafrika.

DUNIA NI YA WENYE HEKIMA TU.

Imefasiriwa na crocodiletooth.
Source plz, which publication, web url plz! this seems like one of those famous conspiracy theories!
 
hii hutuba sio ya netanyau,hana muda mchafu wa kuandaa hotuba kama hii,kama wewe ulivyokuwa na muda mchafu wa kutafsri hii hotuba kutoka international forum, halafu imejaa ukweli mtupu .hii hotuba ni ya botha kaburu la afrika kusini
KWELI KABISA ALETE SOURCE YA HABARI HII ASITUGOMBANISHE NA TAIFA LILILOBARIKIWA,ILA MANENO MAKALI YANATUHUSU KWA UPANDE FLANI
 
View attachment 432949

We are not obliged even to the least to try to prove to anybody and to blacks and Arabs that we are superior people, we have demonstrated that to the blacks and Arabs in 1001 ways.

The state of Israel we know today is not created by wishful thinking. We have created it at the expenses of intelligence, sweat and blood... we do not pretend like other whites that we like blacks and Arabs.

The fact that blacks and Arabs look like human beings doesn't necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles because they look alike.

If God had wanted us to be equal to blacks and Arabs, He would have created us all of a uniform color and intellect but He created us differently whites, blacks, yellow, rulers and the ruled. Intellectually we are superior to the blacks and Arabs that has been proven beyond the reasonable doubt over the years.

I believe that a Jew is honest, God fearing person who has demonstrated practically the right way of being. By now every one of us has seen it practically that blacks and Arabs cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good for nothing else but making noise, dancing, marrying many wives, alcoholism, witchcraft, indulging in sex, pretending in church, jealousy, fighting and complaining of nonsense.

Let us all accept that the black man is a symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Give them money for development they will fight and create hatred and enmity for themselves. This proves to anybody including a stupid fool that Africans don't know what they want. Isn't that plausible?

Therefore, that the white man is created to rule the black man is a fact of life. Africans will always have day dreams and here is the creature (black man) that lacks foresight but only sees what is near him and still fails to know what to do. A black man is stupid to the extent that he cannot plan for his life beyond a year. Therefore, how can they develop and live longer.

Then which fool argues that the black man is not born a beggar, grows a beggar, looks a beggar, falls sick as a beggar and dies a beggar. This has been proven beyond reasonable doubt. I wonder that even up to now most Africans still go to school by force and those who are at school are enemies of their non school going counterparts.

This is a pregnant stupidity in Africa that needs Jesus's immediate second coming. The body of Africans is very fertile for all diseases in the world bse they don't fear even HIV/AIDS. This leaves me with a question are our eyes created the same with those Africans? I hear there are still cultures in Africa that prohibit them from using latrines which is very strange and annoying.
Please I am sorry to say that I am regretting to say that why did God create Africans.

They cried for independence but have failed to rule themselves. For sure being African is a very untreatable disease that even prayers are not enough.

They have minerals but they cannot do anything with them therefore we the sensible whites should go to Africa and pick what we can pick and leave what is of no use for them.

Poverty is a disease to the whites but to the blacks it is very normal. Jesus please hurry and save Africans and Arabs.

A WORD IS ENOUGH FOR THE WISE.

--------------
HOTUBA YA WAZIRI MKUU WA ISRAEL NETANYAU KUHUSU AFRIKA.

Hatujiwajibishi hata kidogo kujaribu kuthibitisha au kudokeza kwa kila mtu na kwa Waafrika na Waarabu kuwa Sisi (Weupe) tu watu tuliobora zaidi, tumelionesha hili kwa Waafrika na Waarabu kwa njia 1001.

Nchi ya Israeli tunayoijua Leo haijafanywa kwa kufikiri hewani tu, tumeifanya kwa gharama ya akili, jasho na damu.....hatujifanyishi kama weupe wengine kuwa tunawependa weusi.

Ukweli wa kwamba wausi na Waarabu wanaonekana kama binadamu hauwafanyi wao kuwa binadamu welevu. Nungunungu sio panya na mjusi sio mamba japokuwa wanafanana. Kama Mungu angetaka sisi (Weupe) kuwa Sawa na Weusi na Waarabu, angetuumba Sawa sisi sote kwa rangi moja na akili Sawa lakini akatuumba sisi tofauti weupe Weusi, njano, Watawala na Watawaliwa. Kielimu tuko juu na bora zaidi kwa Weusi na Waarabu ambayo imekuwa ikithibitishwa mbele ya tafakuri za Busara zenye Mashaka kwa miaka.

Ninaamini kuwa Muyahudi ni mwaminifu, ni mcha Mungu ambaye ameliinesha kwa vitendo na njia sahihi ya yeye kuwepo. Hadi Sasa kila mmoja wetu ameliona hili kwa matendo kwamba Waafrika na Waarabu hawawezi kujitawala wenyewe.
Wape bunduki, watauana kila mmoja wao kwa wao. Hawana jema lolote zaidi ya kupiga kelele, kucheza, kuoa wake wengi, kunywa pombe kupindukia, uchawi, kijiingiza katika ngono, kujifanyisha kanisani, wivu, kupigana na kulaumu mambo yasiyo ya msingi.

Sote tukubaliane kuwa watu Weusi ni ishara ya umasikini, uduni wa akili au ubongo, uvivu na wenye mihemuko ya Uzembe (Kizembe);
Watapigana na kujiundia chuki na uadui wao wenyewe. Hii huthibitisha kwa mtu yeyote akiwemo ******** kuwa Waafrika hawajui wanachokitaka. Je, hili haliwezekani?

Kwa hiyo, suala la kuwa mtu mweupe aliumbwa kumtawala mtu mweusi, ni kweli, Waafrika watabakia kuwa na ndoto za mchana na hapa ni kiumbe (Mtu mweusi) keamba hukosa mtazamo wa kuona mbali bali huona lililokaribu na bado hushindwa kujua cha kufanya katika hayo yaliyo karibu yake.

Mtu mweusi ni mjinga kwa kiwango kwamba hawezi kujipangia mambo kwa ajili ya maisha yake ya badaye hata mwaka mmoja mbele. Sasa wataendeleaje na kuishi sana.
Sasa ******** gani hupinga kuwa mtu mweusi hakuzaliwa ombaomba, hukua ombaomba, huonekana ombaomba, huugua kama ombaomba na hufa kama ombaomba? Hili limethibitishwa mbele ya kujiuliza kwa Busara. Ninashangaa kwamba mpaka Sasa Waafrika wengi huenda shule kwa kusukumwa (Kulazimishwa) na walioko shuleni ni maadui. Huu ni ujauzito wa upumbavu Afrika unaohitaji ujio wa pili wa Yesu.

Mwili wa Waafrika ni wenye rutuba sana kwa magonjea yote Ulimwenguni kwasababu hawaogopi hata VVU/UKIMWI. Hili huniacha Mimi na maswali mengi kuwa, macho yetu yaliumbwa Sawa na ya Waafrika,,.?
Ninasikia Afrika bado kuna tamaduni zinazowapinga wao wasitumie vyoo, inakela sana.

Samahani sana kwa kusema hivyo, ninachelea kusema kwamba, kwanini Mungu aliwaumba Waafrika?
Walilia Uhuru lakini wameshindwa kujitawala wao wenyewe. Kwa hakika kuwa Mwafrika ni ugonjwa usiotibika hata kwa sala (Maombi) haitoshi.

Wana madini lakini hawayafanyii lolote. Hivyo, acha weupe twende Afrika tukachukue tunachoweza kuchukua, kisha tuviache visivyo vya thamani kwao. Umasikini ni ugonjwa kwa Weupe lakini kwa Weusi ni suala la kawaida kabisa. Yesu njoo haraka uwaokoe Waafrika na Waarabu.

DUNIA NI YA WENYE HEKIMA TU.

Imefasiriwa na

Mwl. Jonas Kifunda.

Jk/TzVsSb/Sb
L.
Copied, Maneno haya yanauma na kuudhi ila, tuangalie ujumbe je , anataka kutuambia nini? Haya ni ya kweli? Kwani Afrika tu?, tu tujitathimini kwa
Ni speech ambayo imenifanyanimdharau huyu mzee.,.. Sio kweli kwamba waafrika tupo hivyo... Kwa mfano mapacha watenganishwe mmoja apelekwe kulelewa ikulu mwingine apelekwe kulelewa kwetu Vingunguti.. Wasikutane mpaka ukubwani.

Sikuwanakutana hawatafanana... Kimatendo kunamambo watazidiana hata kifikra.. Sisi waafrika sio kwamba tumeumbwa wadhaifu..

Just imagine umezungukwa na watu ambao kila siku wanaingia mikataba ya kuhakikisha wanakunyonyatu... Sisi ni weusi na Maskini sikatai.. Lakini tukubali kuwa na wazungu ni dhaifu ndio maana wanafanyakazi usiku na mchana tusiwapite kozi wanajua dhahiri hakuna wanapo tuzidi.. Wanachofanya ni kutukandamizatu.. Wanaungana kutupeleka chini for nothing..

Hivi kweli kama wangekua wanataka tuendelee si wangetupa elimu wanayo wapa watoto wao... Mbona Ben Carson amefanya mambo ambayo wazungu wengi tu wameshindwa kufanya... Hivi kwanza Mara ya mwisho ni lini mzungu kushinda Olympic riadha...??


You know sisi waafrika tukipata elimu wanayopewa watoto wa kizungu tutakua ni zaidi yao.. Kozi hata physically tuko more powerful.. Tunaweza ishi popote bila tabu..

Nshu inakuja kwamba hawataki kutupa hiyo elimu.. Lakini wao wanapeana vizuri2.. Zipo shahidi nyingi tu wasomi watu wakienda nje kusoma wakirudi huwa sio wao... Huwa ni kama wamechanganyikiwa
Hasa wanaotoka Urusi...

Waafrika tunaupendo.. Na dhani kuliko hata wazungu... Huwezi kwenda nyumbani kwa Mwafrika akala chakula bila kukukaribisha ila sio kwa wazungu... Wana Roho mbaya mno.. Na ni wanafiki kupitiliza..
Ben Carson aliwahisema... "Katika maisha yake kama neurosurgeon hajawahi on a tofauti ya Ubongo kati ya Mweusi na Mweupe...



Nimalize tu kwa Ku sema.. Nawaonea hurumasana wenzangu.. Ambao mmeona huyu mwehu kasema ukweli.. Huo ni uongo na chuki.. Tena ni mpumbavu kinoma..
Mbona mfalme Suleiman alizaa afrika watoto kibao ambao mpaka sahivi wamejitenga kama waisrael wanaoishi afrika..
Mbona hakunajipya walicho Fanya Afrika?..

Kwa wa kristo wenzangu.. Wa Israel wakuwabariki kwa sasa ni wale walio mkubali Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao... Soma Waefeso Sahivi hata mtaanzania Utakua Muisrael.. Kiroho sio kimwili,, Mungu alishatupa kibali so msiwatukuze sana hao wapumbavu mwishowe ndo wanawadharau kama hivyo...

Vitu vingi tu hata waarabu waligundua Aljebra nk..
 
Umeongea point mkuu, kama wangekuwa na akili ya kimungu wasingekuwa wezi wa rasilimal za Africa, kwa kushirikiana na viongoz wabadilif wa Africa wangeonesha mfano wa uadikif, pia mambo mabaya mengi yanatoka kwao mfano ndoa za jinsia moja, ukahaba kwao ni utamadun tena unapigiwa debe,pia kuna dude linaitwa democracy wanahalalisha mamb ya hovy kis demcrscy isiy na mipaka,kuhusu ngono wao ndo no moja,ebu angalia watalii wanazuru nchin hufanya mapenz kandokand ya fukwe bila haya kwet sis tunacop tu si tamadun zetu,shida yet ni umaskin tu unaotokana na ubinafsi wa viongoz wetu, pia elim na ujuz mdogo kuwez kumilik rasilimal zetu ,ila naamin miaka ijayo Africa itapiga hatua kubwa sana kimaendeleo,miaka 30 ijayo watakuja kutupenda tu
 
Una swali jingine.
Au nipe mstari unaosimamia wewe

Naomba source. Siombi quote. Tofautisha.

Hicho unachodai Trump kasema ndio sikikubali, kwa hiyo usinipe nukuu! Nipe jina la chombo cha habari ambacho kiliripoti kwamba Trump kasema Waafrika sijui walevi, watawaliwe tena, wanapenda ngono kutwa kucha...

Na sitaki chanzo kutoka ki-jarida chochote cha third world ambacho hakina hata website ya kutafuta hiyo habari.
 
Back
Top Bottom