Recent content by yorogos

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nini wanawake wengi awapendi kutumia condom

    wengi wao wanaacha kutumia kwasababu labda amesikia rafk yake hatumii,au anajaribu kujua anapata hisia gan akifanya bila kinga,au kujenga mtazamo kwamba ndo namna ya kuaminiana katika mahusiano..
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    kaka lengo la kuwa kiingozi ni kuongoza na kuwakilisha watu walio kuchagua na kukuamini kuwa utatekeleza na kuwasaidia pale kwenye matatizo yanapo tokea sasa huyu jamaa tulimpa uongozi kwa kujua kwamba ndie mkombozi wa tatizo la maji ubungo lakin bado changamoto zimekuwa nyingi sana
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    asee we unaishi stop over ip kwasababu sisi tunao ishi huu upande royal edp maeneo ya kwa mama mzungu,maua record,nyangado,shamba la geta,msikiti wa udongo maji hayatoki yana tunanunua maji
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio kozi/taaluma za muhimu duniani

    By Perry Kweli kabisa,sio unakuta libaba lizima limekomaa eti linasoma sociology,community development au ualimu,ujinga mtupu! kaka huyo perry ali post kauli ya dharau nilicho kisema nikuhusiana na post ya perry,itazame vzur utaona inamapungufu
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio kozi/taaluma za muhimu duniani

    hebu punguza dharau kwasababu kuna watu wanaishi kwa kupitia vipato vitukanavyo na hizo taaluma,tena wanalea watoto wao na wasio wakwao,ww kama baba ako au mama ako ni engeneer basi usidharau wengine wasomao taaluma hii,next time try just a little bit to think before posting anything.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    wengi tumekuwa tukishutumu tena kwa kutumia lugha kali zikiambatana na matusi,inawezekana ikawa kweli au si kweli,wengi wetu tuna ushahdi wa kusikia wala si wa tathmini tulizo fanya wenyewe, kwahilo mm sifahamu kwa uhalisia zaidi zaidi yakusikia bunge chini ya tume iliyo chaguliwa na...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    nilipenda sana tundu lisu angekua hata wazir kwakua yuko cdm atabakia kuwa wazr kivuli,tundu lisu ni mtendaj mzur,baraza la mawazir lingekuwa lina pangwa kutoka pande zaidi ya moja(ccm,cdm,nccr),kungekuwa na utendaj wa hali ya juu kuliko hivi sasa,kwan baadhi ya mawazr wamekua mawazr majna
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Pres. Mugabe: It is time Africa be grateful to Julius Nyerere

    huyu okello ndo yule john okello mganda alie isaidia zanzbar kwenye mapinduz???
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Kumbe Dk Hamisi Kigwangalla ana CV ya kutisha!

    huyo mnyika nae kunavitu vya msingi akamilishe jimboni kwanza aache kuongea sana mfano maji
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Upendeleo wa ubalozi wizara ya mambo ya nje.

    kabla ya kujibu inabd ufikirie kwa makini kiarabu lugha kama lugha nyingine kwahiyo mtu awaye yeyote anaweza kujifunza
Back
Top Bottom