Kumbe Dk Hamisi Kigwangalla ana CV ya kutisha!

doctor of Med anafanya masters of Public Health halfu unasema Cv inatisa,eb
Imeandikwa kwenye Ukurasa wa FB wa hii kitu https://www.facebook.com/pages/Citizens-For-Kigwangalla/370119756463712

Wasifu Mfupi wa Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla (MB).

Dr. Hamisi Kigwangalla, MB, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, alizaliwa Mwaka 1975, Mwezi Agosti, Tarehe 7 katika Hospitali ya Maweni, Kigoma. Akiwa ni mtoto wa kwanza wa Bwana Mahampa Kigwangalla na bibi Bagaile Lumola. Baba yake ni Mkimbu kutokea kijiji cha Goweko, Uyui, Tabora na Mama yake ni Mnyamwezi mzaliwa wa Nzega, huko huko Tabora. Wakati anazaliwa Baba yake alikuwa ni mtumishi wa benki ya NBC (ya zamani) na mama alikuwa ni mwalimu wa daraja la A. Alikulia mjini Nzega kwa babu na bibi yake baada ya wazazi wake kutengana.

Amesoma shule ya msingi Kitongo na Mwanzoli, Nzega. Sekondari alisomea Kigoma Secondary School, ambapo alifaulu vizuri masomo ya sayansi na kuchaguliwa kwenda kusoma Shinyanga Secondary School, kombinesheni ya Physics, Chemistry na Biology (PCB), ambapo alifaulu vizuri kwa division I na kuchaguliwa kusomea masomo ya Udaktari katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Muhimbili University College of Health Sciences. Mwaka 2004, alihitimu masomo ya Udaktari wa Tiba na kutunukiwa digrii ya 'Doctor of Medicine' ya chuo kikuu cha Dar es salaam. Alifanya internship katika hospitali ya taifa ya muhimbili na baadaye hospitali ya Mwananyamala. Baada ya hapo alipata fursa ya kusoma Masters of Public Health (MPH) katika Chuo Cha Karolinska Institutet na Master of Business Administration (MBA) akibobea zaidi kwenye Organization and Leadership, katika chuo kikuu cha Blekinge Institute of Technology - vyuo vyote hivi vipo nchini Sweden.

Sasa hivi, Dr. Kigwangalla anamalizia tasnifu yake ya shahada ya uzamivu (Ph.D.) kwenye Public Health, akibobea zaidi kwenye Health Economics. Anaandika tasnifu yake kuhusiana na haki, usawa na uhalali wa mchakato wa bajeti kwenye sekta ya afya nchini Tanzania.

Amewahi kushika nyadhifa mbalimbali. Daktari daraja la II, Mtafiti na mtaalamu mshauri wa kujitegemea. Pia ni Mkurugenzi mwanzilishi wa makampuni yaliyo wanachama wa MSK Group, na amewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Group hii kabla ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Nzega. Kampuni ya MSK Group inaweza kukadiriwa kwa sasa kumiliki mali na madeni kwa kiwango cha TZS 10bn, na inazungusha kwa mwaka mtaji wa takriban TZS 4bn. Inaajiri watanzania wapatao 400 moja kwa moja (katika nyakati mbali mbali za mwaka), na zaidi ya 200,000 indirectly.

Dr. Kigwangalla amewahi kuanzisha na ama kushiriki harakati mbalimbali za kupambana na umaskini, maradhi, ujinga, ukosefu wa ajira kwa vijana, uonevu, utetezi wa wanyonge na wasiojiweza, mapambano dhihi ya VVU/UKIMWI, ulinzi wa raslimali za taifa na kuhakikisha watanzania wanafaidika na urithi wao n.k.

HK amewahi kushika nafasi mbali mbali za uongozi kwenye chama chake, CCM (ambacho alijiunga rasmi mwaka 1994); amewahi kuwa chipukizi na kiongozi wa chipukizi wilaya ya Nzega, ameshiriki makambi mbalimbali ya vijana na halaiki, amewahi kuwa kijana wa Green Guard wa CCM, amewahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana wa CCM, tawi la Kigoma Sekondari na Mjumbe, Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Sikonge akiwawakilisha vijana. Kwa sasa ni Mjumbe, Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM, Mkoa wa Tabora, Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Nzega na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa. Hajawahi kujiunga na chama kingine chochote kile cha siasa. Amewahi kushiriki kampeni mbalimbali za uchaguzi na kujitolea kwa hali na mali kujenga chama chake.

Dr. Kigwangalla ni mwandishi mzuri wa vitabu, makala za kisayansi na makala za uchambuzi wa mambo mbali mbali ya kisiasa na kiuchumi kwenye magazeti mbali mbali ya ndani na nje ya nchi.

Ni mwanamichezo, akipendelea zaidi kucheza soccer, basketball, tennis na Golf. Anapendelea mijadala ya wazi kwenye mitandao ya kijamii na ni mpenzi wa kusoma vitabu. Dr. Kigwangalla ana mke na watoto watatu, Sheila, Hawa na HK Jr.

View attachment 142543
 
huyo mnyika nae kunavitu vya msingi akamilishe jimboni kwanza aache kuongea sana mfano maji
 
Mambo ya kizamani kulinganisha CV,
hapa Wote ni wabunge hebu linganisha utendaji wao...
Mbona maccm kibao maprof lakini ni bure kabisa, anaza na Kapuya

Cha muhimu tulinganishe utendaji wao

Mnyika mpaka sasa anaongoza kwa kila kitu bungeni, kuchangia, kupeleka hoja binafsi, kuuliza maswali, kuhudhuria bungeni, kutoa michango, hakuna hata mmoja ambalo Kigwangala kamzidi, hapa CV inasaidia nini?

Mwambia akamsaidie baba yake kwanza, laana inamtafuna.

Kuongea mara nyingi sana bungeni haimaanishi ndiyo mtendaji mzuri...kuna uwezekano unaongea pumba tu! Kuwa Mbunge vizuri kunapimwa kwa vitu vingi zaidi ya hivyo...je michango na utendaji kazi wako umeleta faida gani jimboni na Taifani? Mahoja mengi yanayopeleka kukuongeze idadi ya michango kama hayasaidii kuleta maendeleo kwa watu wako ni bure kabisa...

Huwezi kudharau CV ya kielimu ya mtu maana kipimo cha kwanza cha weledi ni kusoma na ili ufanikiwe kwenye masomo tunaamini ni lazima ulikuwa ni mtu makini na mwenye 'discipline'. Discipline hapa ni kwa maana ya kufanya kila jambo kwa wakati wake...wakati wa kusoma usome, ukikimbia shule hata kama una akili nyingi za namna gani sisi hatuna kipimo kingine zaidi ya hati zako za kuhitimu masomo...hivi huyo Mnyika unayemsifia ana hati ya digrii gani? Michango ya Bungeni? ama kwa vile yeye ni CHADEMA tu?

Ukitaka kulinganisha utendaji wao, tuangalie nani kafanya mambo ya kihistoria na yatakayoacha alama ya utendaji uliotukuka kwa watu wake kati ya Kigwangala na Mnyika?
 
huyo mnyika nae kunavitu vya msingi akamilishe jimboni kwanza aache kuongea sana mfano maji

Mimi ni mkazi wa huku Changanyikeni, tuna shida kubwa ya maji na wala hatumuoni Mbunge wetu akifanya jitihada za kutafuta suluhu ya kero hii sugu sasa kama alivyotuahidi. Huwezi kulinganisha na huyu Kigwangala aliyepambana na madiwani wake kwa kuwa walitaka kutumia vibaya fedha za wananchi zilizopangwa kununulia mashine za kuchonga barabara na kuchimbia visima
 
Sijaweza kujua ni kwa nini Bw. Hamisi ameamua kuleta bandiko lenye kuonesha wasifu wake hapa. Timing ya bandiko hili inatatanisha pia. "Ni mwandishi mzuri wa vitabu na makala za kisayansi". Ningependa sana kusoma makala zake za kisayansi. Kama hutajali tuwekee baadhi ya kazi zake (bibliography) hapa ili tuweze kujisomea na kujionea wenyewe ni jinsi gani huyu bwana ni mwandishi mzuri.

PhD in Health Economics? Chuo gani? Bw. Hamisi amewahi kusoma economics? Tasnifu = Thesis? Kama jibu ni ndio, basi ikikamilika pia aiweke hapa (pdf) ili tuweze kuelimika. Najua hii PhD kama si ya Mzumbe, basi itachukua muda kidogo kukamilika. Hivyo, nitaendelea kukumbushia ombi langu.
 
anacheza Golf? mmm usanii mwingine? kwa nini asiandike ana uzoefu mkubwa kuchunga mbuzi
 
Imeandikwa kwenye Ukurasa wa FB wa hii kitu https://www.facebook.com/pages/Citizens-For-Kigwangalla/370119756463712

Wasifu Mfupi wa Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla (MB).

Dr. Hamisi Kigwangalla, MB, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, alizaliwa Mwaka 1975, Mwezi Agosti, Tarehe 7 katika Hospitali ya Maweni, Kigoma. Akiwa ni mtoto wa kwanza wa Bwana Mahampa Kigwangalla na bibi Bagaile Lumola. Baba yake ni Mkimbu kutokea kijiji cha Goweko, Uyui, Tabora na Mama yake ni Mnyamwezi mzaliwa wa Nzega, huko huko Tabora. Wakati anazaliwa Baba yake alikuwa ni mtumishi wa benki ya NBC (ya zamani) na mama alikuwa ni mwalimu wa daraja la A. Alikulia mjini Nzega kwa babu na bibi yake baada ya wazazi wake kutengana.

Amesoma shule ya msingi Kitongo na Mwanzoli, Nzega. Sekondari alisomea Kigoma Secondary School, ambapo alifaulu vizuri masomo ya sayansi na kuchaguliwa kwenda kusoma Shinyanga Secondary School, kombinesheni ya Physics, Chemistry na Biology (PCB), ambapo alifaulu vizuri kwa division I na kuchaguliwa kusomea masomo ya Udaktari katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Muhimbili University College of Health Sciences. Mwaka 2004, alihitimu masomo ya Udaktari wa Tiba na kutunukiwa digrii ya 'Doctor of Medicine' ya chuo kikuu cha Dar es salaam. Alifanya internship katika hospitali ya taifa ya muhimbili na baadaye hospitali ya Mwananyamala. Baada ya hapo alipata fursa ya kusoma Masters of Public Health (MPH) katika Chuo Cha Karolinska Institutet na Master of Business Administration (MBA) akibobea zaidi kwenye Organization and Leadership, katika chuo kikuu cha Blekinge Institute of Technology - vyuo vyote hivi vipo nchini Sweden.

Sasa hivi, Dr. Kigwangalla anamalizia tasnifu yake ya shahada ya uzamivu (Ph.D.) kwenye Public Health, akibobea zaidi kwenye Health Economics. Anaandika tasnifu yake kuhusiana na haki, usawa na uhalali wa mchakato wa bajeti kwenye sekta ya afya nchini Tanzania.

Amewahi kushika nyadhifa mbalimbali. Daktari daraja la II, Mtafiti na mtaalamu mshauri wa kujitegemea. Pia ni Mkurugenzi mwanzilishi wa makampuni yaliyo wanachama wa MSK Group, na amewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Group hii kabla ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Nzega. Kampuni ya MSK Group inaweza kukadiriwa kwa sasa kumiliki mali na madeni kwa kiwango cha TZS 10bn, na inazungusha kwa mwaka mtaji wa takriban TZS 4bn. Inaajiri watanzania wapatao 400 moja kwa moja (katika nyakati mbali mbali za mwaka), na zaidi ya 200,000 indirectly.

Dr. Kigwangalla amewahi kuanzisha na ama kushiriki harakati mbalimbali za kupambana na umaskini, maradhi, ujinga, ukosefu wa ajira kwa vijana, uonevu, utetezi wa wanyonge na wasiojiweza, mapambano dhihi ya VVU/UKIMWI, ulinzi wa raslimali za taifa na kuhakikisha watanzania wanafaidika na urithi wao n.k.

HK amewahi kushika nafasi mbali mbali za uongozi kwenye chama chake, CCM (ambacho alijiunga rasmi mwaka 1994); amewahi kuwa chipukizi na kiongozi wa chipukizi wilaya ya Nzega, ameshiriki makambi mbalimbali ya vijana na halaiki, amewahi kuwa kijana wa Green Guard wa CCM, amewahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana wa CCM, tawi la Kigoma Sekondari na Mjumbe, Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Sikonge akiwawakilisha vijana. Kwa sasa ni Mjumbe, Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM, Mkoa wa Tabora, Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Nzega na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa. Hajawahi kujiunga na chama kingine chochote kile cha siasa. Amewahi kushiriki kampeni mbalimbali za uchaguzi na kujitolea kwa hali na mali kujenga chama chake.

Dr. Kigwangalla ni mwandishi mzuri wa vitabu, makala za kisayansi na makala za uchambuzi wa mambo mbali mbali ya kisiasa na kiuchumi kwenye magazeti mbali mbali ya ndani na nje ya nchi.

Ni mwanamichezo, akipendelea zaidi kucheza soccer, basketball, tennis na Golf. Anapendelea mijadala ya wazi kwenye mitandao ya kijamii na ni mpenzi wa kusoma vitabu. Dr. Kigwangalla ana mke na watoto watatu, Sheila, Hawa na HK Jr.

View attachment 142543

Unaweza kunipa kirefu cha MSK GROUP TUJUE KAMA NDIO MWANZILISHI? Ni upi mchango wake ndan ya MSK GROUP? Hebu eleza hali ya MSK ilivyo kwasasa.
 
weka performance CV yake na sio longolongo hizo. Kuwa nashule inachangiwa na fursa na uwezo wa wazazi na sio uelewa binafsi wa mhusika.

aisee kumbuka udaktar c kama corse nyingine unazoweza kufoji foji kama una pesa mkuu huyu jamaa akil anayo na hajaungaunga kama hawa raia wengne bana sema ndo hvyo yupo chama kile cha kijan shida ndo ipo hapo
 
Watanzania wengi wanawivu, na kwa roho hiz za korosho tutaendelea kuuwana na kuwa maskin daima....mijitu ina wivu kma mishetan vile ww unadis cv yake haina kitu afu ukute mtu mwenyew ulishafail shule kitambo umejiunga na siasa uchwara 24/7 unashinda jf ili upate comission yako...buuuuu watu wote wenye kuonea wivu mafanikio ya wenzao ilhal wao n failures

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Ukweli kajitahidi-sio kumbeza kwa ajili ya kubeza.
 
Mambo ya kizamani kulinganisha CV,
hapa Wote ni wabunge hebu linganisha utendaji wao...
Mbona maccm kibao maprof lakini ni bure kabisa, anaza na Kapuya

Cha muhimu tulinganishe utendaji wao

Mnyika mpaka sasa anaongoza kwa kila kitu bungeni, kuchangia, kupeleka hoja binafsi, kuuliza maswali, kuhudhuria bungeni, kutoa michango, hakuna hata mmoja ambalo Kigwangala kamzidi, hapa CV inasaidia nini?

Mwambia akamsaidie baba yake kwanza, laana inamtafuna.

Wacha maneno wewe umeambiwa weka CV ya Mnyika na Sugu hapa. Unataka kuniambia kuwa darasa la saba na FIV ni sawa. Upeo bwana, husije ukajilinganisha na mtu aliyeona kidato. Ni watu wawili tofauti hata kama mwalimu hakuingia darasani. Lakini jumuisho ilo ni muhimu kwa maendeleo ya binadamu.
Haya tenda sasa weka CV hapa
 
Huyi jamaa ukisomaga post zake fb utadhani ni mawazo ya bata..kichwani hana kitu..Maghufuri amempa kama fadhira kwa ajili ya kumsaidia kwenye campaign zake hana lolote.
 
Imeandikwa kwenye Ukurasa wa FB wa hii kitu https://www.facebook.com/pages/Citizens-For-Kigwangalla/370119756463712

Wasifu Mfupi wa Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla (MB).

Dr. Hamisi Kigwangalla, MB, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, alizaliwa Mwaka 1975, Mwezi Agosti, Tarehe 7 katika Hospitali ya Maweni, Kigoma. Akiwa ni mtoto wa kwanza wa Bwana Mahampa Kigwangalla na bibi Bagaile Lumola. Baba yake ni Mkimbu kutokea kijiji cha Goweko, Uyui, Tabora na Mama yake ni Mnyamwezi mzaliwa wa Nzega, huko huko Tabora. Wakati anazaliwa Baba yake alikuwa ni mtumishi wa benki ya NBC (ya zamani) na mama alikuwa ni mwalimu wa daraja la A. Alikulia mjini Nzega kwa babu na bibi yake baada ya wazazi wake kutengana.

Amesoma shule ya msingi Kitongo na Mwanzoli, Nzega. Sekondari alisomea Kigoma Secondary School, ambapo alifaulu vizuri masomo ya sayansi na kuchaguliwa kwenda kusoma Shinyanga Secondary School, kombinesheni ya Physics, Chemistry na Biology (PCB), ambapo alifaulu vizuri kwa division I na kuchaguliwa kusomea masomo ya Udaktari katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Muhimbili University College of Health Sciences. Mwaka 2004, alihitimu masomo ya Udaktari wa Tiba na kutunukiwa digrii ya 'Doctor of Medicine' ya chuo kikuu cha Dar es salaam. Alifanya internship katika hospitali ya taifa ya muhimbili na baadaye hospitali ya Mwananyamala. Baada ya hapo alipata fursa ya kusoma Masters of Public Health (MPH) katika Chuo Cha Karolinska Institutet na Master of Business Administration (MBA) akibobea zaidi kwenye Organization and Leadership, katika chuo kikuu cha Blekinge Institute of Technology - vyuo vyote hivi vipo nchini Sweden.

Sasa hivi, Dr. Kigwangalla anamalizia tasnifu yake ya shahada ya uzamivu (Ph.D.) kwenye Public Health, akibobea zaidi kwenye Health Economics. Anaandika tasnifu yake kuhusiana na haki, usawa na uhalali wa mchakato wa bajeti kwenye sekta ya afya nchini Tanzania.

Amewahi kushika nyadhifa mbalimbali. Daktari daraja la II, Mtafiti na mtaalamu mshauri wa kujitegemea. Pia ni Mkurugenzi mwanzilishi wa makampuni yaliyo wanachama wa MSK Group, na amewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Group hii kabla ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Nzega. Kampuni ya MSK Group inaweza kukadiriwa kwa sasa kumiliki mali na madeni kwa kiwango cha TZS 10bn, na inazungusha kwa mwaka mtaji wa takriban TZS 4bn. Inaajiri watanzania wapatao 400 moja kwa moja (katika nyakati mbali mbali za mwaka), na zaidi ya 200,000 indirectly.

Dr. Kigwangalla amewahi kuanzisha na ama kushiriki harakati mbalimbali za kupambana na umaskini, maradhi, ujinga, ukosefu wa ajira kwa vijana, uonevu, utetezi wa wanyonge na wasiojiweza, mapambano dhihi ya VVU/UKIMWI, ulinzi wa raslimali za taifa na kuhakikisha watanzania wanafaidika na urithi wao n.k.

HK amewahi kushika nafasi mbali mbali za uongozi kwenye chama chake, CCM (ambacho alijiunga rasmi mwaka 1994); amewahi kuwa chipukizi na kiongozi wa chipukizi wilaya ya Nzega, ameshiriki makambi mbalimbali ya vijana na halaiki, amewahi kuwa kijana wa Green Guard wa CCM, amewahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana wa CCM, tawi la Kigoma Sekondari na Mjumbe, Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Sikonge akiwawakilisha vijana. Kwa sasa ni Mjumbe, Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM, Mkoa wa Tabora, Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Nzega na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa. Hajawahi kujiunga na chama kingine chochote kile cha siasa. Amewahi kushiriki kampeni mbalimbali za uchaguzi na kujitolea kwa hali na mali kujenga chama chake.

Dr. Kigwangalla ni mwandishi mzuri wa vitabu, makala za kisayansi na makala za uchambuzi wa mambo mbali mbali ya kisiasa na kiuchumi kwenye magazeti mbali mbali ya ndani na nje ya nchi.

Ni mwanamichezo, akipendelea zaidi kucheza soccer, basketball, tennis na Golf. Anapendelea mijadala ya wazi kwenye mitandao ya kijamii na ni mpenzi wa kusoma vitabu. Dr. Kigwangalla ana mke na watoto watatu, Sheila, Hawa na HK Jr.

View attachment 142543

nadhani chadema hakuna msomi kama huyu
 
Kigwax aliwah kumponda sana prof muhongo na kumtusi. Leo hii wanakutana wote mawazir.
 
Back
Top Bottom