Upendeleo wa ubalozi wizara ya mambo ya nje.

Upendeleo wa ubalozi wizara ya mambo ya nje.

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
kATIKA MABALOZI WOTE WA TANZANIA KATIKA NCHI ZA KIARABU NI WAISLAM, najiuliza wakristo wa nchi hii hawana sifa za kuwa mabalozi nchi hizo? Mbona nchi za ulaya na zenye wakristo wengi mabalozi wako mchanganyiko wa dini zote? kwa nini wakristo kunyimwa nafasi hizo? au ni kwa kuwa ni nchi za kiislam kwa hiyo wakristo ni wajinga kutokuwa na nchi zinazoendeshwa kikristo?kama nchi haina dini tulitegemea kuona mchanganyika hata kusikia balozi wa oman akiitwa John au Emmanuel sio waislam tu maana kigezo katika taifa letu sio dini bali uwajibikaji na taaluma.
 
Ili hata nchi hizo ambazo tumefungua ubalozi wajue tanzania ni nchi isiyokuwa ya kidini na ubalozi haukufunguliwa kwa sababu ya dini bali mashirikiano kiuchumi na kijamii sote kama binadamu tunategemeana.
 
kupeleka mabalozi wa dini moja mnaweza kuwajengea picha kuwa tanzania nayo ni nchi ya kidini.
 
Kwani nyinyi wakristo munajua kuongea kiarabu?

kwani wanaoelekwa china wanajua kuongea kichina? wanaopelekwa finland wanajua kifinish. hizo ni lugha za kujifuza chini ya miezi sita. na viongozi wakuu katika nchi hizo hujua english maana ni international language hutumika hata UN.
 
kabla ya kujibu inabd ufikirie kwa makini kiarabu lugha kama lugha nyingine kwahiyo mtu awaye yeyote anaweza kujifunza
 
Back
Top Bottom